Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHINA YAHOFIWA KUINGILIA MITAMBO INAYO ONGOZA MAKOMBORA YA WA ISRAEL

Wadukuzi wa kichina katika utaftaji wa taarifa zihusianazo na mitambo inayo ongozea makombora yanayotumiwa na wa Israel nchini palestina wamefanikiwa kuingilia mifumo ya wakandarasi watatu wa ki Israel. Wadukuzi hao wa kichina wamefanikiwa pia kupata kujua taarifa za mipango mingine yawa Israel pamoja na taarifa nyingine muhimu za makombora yawa Israel.


Taarifa hii imekua ikipokelewa kwa namna tofauti na makundi mbali mbali yaliyo onyesha hisia zao kupitia mitandao huku baadhi wakihoji kama...





Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

UCHIMBAJI ENEO LA KINA CHA LANGO LA KUINGILIA MAJI KWENYE MITAMBO WAKAMILIKA KATIKA MRADI WA BWAWA LA KUFUA UMME LA MWALIMU NYERERE

UJENZI wa eneo la lango (Water Intake) la kuingilia maji kwenda kwenye mitambo ya kufua umeme katika Mradi wa Julius Nyerere (Mw 2115) unatarajiwa kukamilika Februari mwaka 2022.

Akizungumza na waandishi wa habari leo, Msimamizi wa Ujenzi wa njia za maji pamoja na bwawa kwenye mradi huo Mhandisi Dismas Mbote amesema utekelezaji wa njia hiyo ulianza Mwezi Oktoba 2019 na kuongeza kazi ya uchimbaji wa lango imekamilika kwa kuchimbwa kina cha mita 53 ambapo hivi sasa kazi inayoendelea ni uondoaji...

 

5 years ago

BBCSwahili

Du Wei: Balozi wa China Israel anayedaiwa kuaga dunia akiwa usingizini

Balozi huyo alidaiwa kumshambulia waziri wa kigeni nchini Marekani Pompeo kuhusu mlipuko wa corona alipozuri Israel siku ya Ijumaa.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ubelgiji yahofiwa kushambuliwa

Ubelgiji imesitisha sherehe za kijadi za kuwasha fataki mjini Brussels katika mkesha wa mwaka mpya, kwa hofu ya shambulizi.

 

11 years ago

Habarileo

Mali yahofiwa kuvunja Taifa

Askofu Damian Dallu wa Kanisa Katoliki Jimbo la GeitaWATANZANIA wametakiwa kuwa makini na mali na rasilimali za nchi, ikiwemo gesi, mafuta, pembe za ndovu na dhahabu kwani zimeanza kuonesha dalili za kugawa Taifa.

 

10 years ago

StarTV

Tanzania yahofiwa kutegemea zaidi misaada.

Na Ramadhan Mvungi,

Arusha.

 

Watafiti kutoka asasi na mashirika yasiyo ya kiserikali nchini wamebainisha kuwa huenda Tanzania ikajikuta katika utegemezi zaidi wa misaada kutoka kwa mataifa yaliyoendelea iwapo juhudi za makusudi na za haraka hazitachukuliwa kudhibiti vitendo vya uharibifu wa mali za Umma.

 

Tatizo jingine ni usimamizi mbovu wa rasilimali ikiwemo ukusanyaji hafifu wa mapato yanayotokana na rasilimali za maliasili za madini na gesi.

 

Katika mdahalo uliofanyika jijini...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ajali ya boti yahofiwa kuua saba

BOTI ya Kilimanjaro II imekumbwa na dhoruba katika mkondo wa Nungwi ikitokea Pemba kwenda Unguja, na abiria saba wanahofiwa kufa. Dhoruba hiyo ilitokea jana mchana na boti hiyo ilielezwa kuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sheria ya kudhibiti mifugo yahofiwa kuibua vurugu

SERIKALI imetahadharishwa kuwapo uwezekano wa kujitokeza kwa vurugu za wakulima na wafugaji katika Kata ya Kisaki, mkoani Morogoro kutokana na kuundwa kwa sheria ya kudhibiti mifugo iliyopitishwa Januari 12, mwaka...

 

11 years ago

BBCSwahili

FBI inayo miili ya magaidi wa Westgate

Mkuu wa majeshi ya Kenya amesema kuwa shirika la Ujasusi la Marekani FBI lilikabidhiwa miili ya magaidi walioshambulia jengo la Westgate nchini Kenya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani