Tanzania yahofiwa kutegemea zaidi misaada.
Na Ramadhan Mvungi,
Arusha.
Watafiti kutoka asasi na mashirika yasiyo ya kiserikali nchini wamebainisha kuwa huenda Tanzania ikajikuta katika utegemezi zaidi wa misaada kutoka kwa mataifa yaliyoendelea iwapo juhudi za makusudi na za haraka hazitachukuliwa kudhibiti vitendo vya uharibifu wa mali za Umma.
Tatizo jingine ni usimamizi mbovu wa rasilimali ikiwemo ukusanyaji hafifu wa mapato yanayotokana na rasilimali za maliasili za madini na gesi.
Katika mdahalo uliofanyika jijini...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima01 Nov
Serikali yaonywa kutegemea misaada ya nje
WADAU wa Maendeleo kutoka asasi mbalimbali za kijamii wameishauri serikali kutotegemea misaada kutoka nje ya nchi, kwani endapo itashindwa kutolewa kwa wakati inaweza kusababisha kwa namna moja au nyingine nchi...
10 years ago
Raia Tanzania15 Jul
Ufaransa yaahidi misaada zaidi kwa Tanzania
AFD ni Taasisi ya kifedha ya Ufaransa na ndiye mtekelezaji Mkuu wa misaada ya kimaendeleo ya nchi hiyo kwa nchi zinazoendelea na zile zenye ngome ya Ufaransa zilizopo katika nchi nyingine duniani kote.
Taasisi hii inatoa fedha kwa miradi ya maendeleo katika zaidi ya nchi 90 zikiwemo nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Mwandishi wa makala hii alifanya mahojiano na Mkurugenzi wa taasisi ya AFD kwa nchi za Afrika Mashariki, Yves Boudot kama ifuatavyo.
Raia Tanzania: Kwa faida ya...
10 years ago
BBCSwahili09 Dec
Uturuki kupokea misaada zaidi.
10 years ago
BBCSwahili09 Dec
Misaada zaidi inahitajika mwakani:UN
11 years ago
BBCSwahili14 Feb
Misaada zaidi yahitajika Syria
11 years ago
Habarileo26 Jan
Waathirika mafuriko Kilosa wahitaji misaada zaidi
SERIKALI ya Mkoa wa Morogoro inahitaji misaada zaidi ya kibinadamu, itakayowasaidia watu zaidi ya 8,000 waliokumbwa na mafuriko katika Kata tatu ya Magole, Dumila na Berega zilizopo Tarafa ya Magole, wilayani Kilosa. Misaada hiyo inatakiwa kutokana na makazi yao kubomoka na kujaa maji ya mafuriko na kupoteza vyakula.
9 years ago
BBCSwahili31 Dec
Ubelgiji yahofiwa kushambuliwa
11 years ago
Habarileo26 Dec
Mali yahofiwa kuvunja Taifa
WATANZANIA wametakiwa kuwa makini na mali na rasilimali za nchi, ikiwemo gesi, mafuta, pembe za ndovu na dhahabu kwani zimeanza kuonesha dalili za kugawa Taifa.
11 years ago
Tanzania Daima06 Jan
Ajali ya boti yahofiwa kuua saba
BOTI ya Kilimanjaro II imekumbwa na dhoruba katika mkondo wa Nungwi ikitokea Pemba kwenda Unguja, na abiria saba wanahofiwa kufa. Dhoruba hiyo ilitokea jana mchana na boti hiyo ilielezwa kuwa...