Serikali yaonywa kutegemea misaada ya nje
WADAU wa Maendeleo kutoka asasi mbalimbali za kijamii wameishauri serikali kutotegemea misaada kutoka nje ya nchi, kwani endapo itashindwa kutolewa kwa wakati inaweza kusababisha kwa namna moja au nyingine nchi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV13 Feb
Tanzania yahofiwa kutegemea zaidi misaada.
Na Ramadhan Mvungi,
Arusha.
Watafiti kutoka asasi na mashirika yasiyo ya kiserikali nchini wamebainisha kuwa huenda Tanzania ikajikuta katika utegemezi zaidi wa misaada kutoka kwa mataifa yaliyoendelea iwapo juhudi za makusudi na za haraka hazitachukuliwa kudhibiti vitendo vya uharibifu wa mali za Umma.
Tatizo jingine ni usimamizi mbovu wa rasilimali ikiwemo ukusanyaji hafifu wa mapato yanayotokana na rasilimali za maliasili za madini na gesi.
Katika mdahalo uliofanyika jijini...
10 years ago
Mwananchi16 Jun
Upinzani wakejeli Serikali kutegemea mikopo
10 years ago
Uhuru Newspaper25 Mar
Kinana: Tusitegemee misaada kutoka nje
NA THEODOS MGOMBA, MOSHI.
WATANZANIA wameshauriwa kutotegemea misaada kutoka nje ya nchi kwa ajili ya kuwaletea maendeleo yao. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, alisema hayo alipokuwa akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Moshi Vijijini, katika Kata ya Arusha Chini.
Kinana alisema hakuna mataifa kutoka nje ambayo yako tayari kusaidia maenendeleo ya watu bila ya wao kujitahidi kuondokana na umasikini.Alisema tabia hiyo ya kutegemea misaada kutoka nje inawafanya...
11 years ago
Mwananchi10 Jan
Mkapa aiponda misaada kutoka nje
10 years ago
Michuzi
JAMII YAASWA KUTOKUTEGEMEA MISAADA KUTOKA NJE

JAMII ya watanzania wanatakiwa kutokutegemea misaada kutoka nje ya nchi isipo kuwa tunatakiwa kujitolea ili kusaidia jamii isiyojiweza kwa jia ya harambee.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Rotary Dar Marathon na mtoa maada, Sharmilla Bhatt katika mkutano unaofanyika kila Alhamisi ya kila...
9 years ago
Michuzi05 Jan
SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU MISAADA ILIYOKATALIWA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya amesema misaada inayotolewa na watu mbalimbali kwa ajili ya kusaidia jamii ni lazima iwe imekidhi viwango vya ubora, hivyo haitakiwi kuangaliwa kwa vigezo vya dini, itikadi wala siasa. Kauli hiyo imetolewa leo na Katibu huyo wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisi kwake baada kituo kimojwapo nchini kukataa misaada iliyotolewa na Mbunge wa Bukoba Mjini...
10 years ago
Michuzi
SERIKALI YA NEPAL YASEMA INASIMAMIA VYEMA MISAADA

Kwa Msaada wa mtandao. Serikali ya Nepal imejitetea dhidi ya malalamiko juu ya misaada ya dharura, kufuatia tetemeko kubwa la ardhi lililotokea Jumamosi nchini humo.
Mkuu wa masuala ya dharura wa Nepal,Rameshwor Dangal,ameambia BBC serikali inajitahidi iwezavyo, lakini mkasa huo ulikumba majimbo 20 nchini humo na hivyo mahitaji ni mengi sana ndiposasa serikali inaelemewa.
Hali ya...
9 years ago
StarTV12 Nov
Serikali yaanza kuwapatia misaada waathiriwa Athari za upepo songea
Serikali Wilayani Songea katika mkoa wa Ruvuma imetoa pole kwa WANANCHI waliopatwa na Maafa baada ya Nyumba zao kuezuliwa na Upepo ulioambatana na Mvua kali uliotokea katika Wilaya hiyo hivi karibuni.
Mkuu wa Wilaya ya Songea Benson Mpesya amesema Kamati ya Maafa Wilaya ya Songea imeweza kukabiliana na janga hilo kwa kuanza kutoa Msaada kwa Kaya 8 zilizokumbwa na maafa hayo.
Mkuu wa Wilaya ya Songea Benson Mpesiya amesema Kamati ya Maafa Wilaya ya Songea baada ya kuona hali mbaya ya Kaya 8...
11 years ago
Michuzi.jpg)
Zanzibar itaendelea kuthamini misaada ya Serikali ya Misri - Maalim seif