JAMII YAASWA KUTOKUTEGEMEA MISAADA KUTOKA NJE
![](http://3.bp.blogspot.com/-v3v1F4yP9MU/Vg5Bi6XrgdI/AAAAAAAH8TM/UEsKIHZn1EA/s72-c/IMG_9969.jpg)
Mwenyekiti wa Rotary Dar Marathon na mtoa maada, Sharmilla Bhatt katika mkutano unaofanyika kila Alhamisi ya kila mwezi (THURDAY TALK) unaoandaliwa na kampuni ya Solution Blocks jijini Dar es Salaam jana.
JAMII ya watanzania wanatakiwa kutokutegemea misaada kutoka nje ya nchi isipo kuwa tunatakiwa kujitolea ili kusaidia jamii isiyojiweza kwa jia ya harambee.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Rotary Dar Marathon na mtoa maada, Sharmilla Bhatt katika mkutano unaofanyika kila Alhamisi ya kila...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi10 Jan
Mkapa aiponda misaada kutoka nje
10 years ago
Uhuru Newspaper25 Mar
Kinana: Tusitegemee misaada kutoka nje
NA THEODOS MGOMBA, MOSHI.
WATANZANIA wameshauriwa kutotegemea misaada kutoka nje ya nchi kwa ajili ya kuwaletea maendeleo yao. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, alisema hayo alipokuwa akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Moshi Vijijini, katika Kata ya Arusha Chini.
Kinana alisema hakuna mataifa kutoka nje ambayo yako tayari kusaidia maenendeleo ya watu bila ya wao kujitahidi kuondokana na umasikini.Alisema tabia hiyo ya kutegemea misaada kutoka nje inawafanya...
10 years ago
Habarileo01 Sep
Jamii yaaswa kulea yatima
JAMII imetakiwa kushirikiana kwa pamoja kulea yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi kutokana na wengi wao kutokuwa na wazazi huku walezi wao wakiwa hawana uwezo wa kuwapatia mahitaji ya msingi.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-cXVr3TNwQs4/VTYc7LlLr0I/AAAAAAAC3X4/2GgnLYO9lus/s72-c/20150418_164243.jpg)
JAMII YAASWA KUTOWAFICHA WALEMAVU
![](http://2.bp.blogspot.com/-cXVr3TNwQs4/VTYc7LlLr0I/AAAAAAAC3X4/2GgnLYO9lus/s1600/20150418_164243.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-D7QabrBUtHE/VTYcyVuQmHI/AAAAAAAC3Xo/NyHG81Fm2Qg/s1600/20150418_164402.jpg)
NA DENIS...
10 years ago
Habarileo17 Aug
Jamii yaaswa kupanda miti
SHIRIKA lisilo la kiserikali la Solar Oven Society Africa limetaka jamii kupanda miti kwa wingi katika maeneo yao ili kulinda na kuhifadhi mazingira na kuepusha nchi kugeuka jangwa.
10 years ago
Mtanzania12 Jun
Jamii yaaswa kununua bidhaa mtandaoni
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
JAMII imetakiwa kuendelea kuwa na imani na wafanyabiashara wanaouza bidhaa kupitia mitandao kwa kuwa ni moja ya njia rahisi ya kuwafikia wateja waliokuwa katika maeneo mbalimbali.
Akizungumza Dar es Salaam jana katika warsha ya wauzaji wa magari kutoka Tanzania Bara na Zanzibar, Meneja wa Masoko wa Mtandao wa Cheki kuwakutanisha wafanyabiashara wa magari Tanzania, Mori Bencus, alisema wananchi wana tatizo kubwa la kutowaamini wafanyabiashara wa mitandao na...
10 years ago
Tanzania Daima30 Oct
Jamii yaaswa mapambano dhidi ya mihadarati
KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David Misime, ametoa wito kwa jamii kuwa mstari wa mbele katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya kwa kuwa vita hiyo ni ya kimataifa....
11 years ago
MichuziJAMII YAASWA KUWASAIDIA WATOTO YATIMA
11 years ago
Habarileo20 Mar
Jamii yaaswa kuhusu dawa ya meno
JAMII imeaswa kukagua dawa ya meno kabla ya kutumia kujiridhisha na ubora na viwango.