Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uturuki kupokea misaada zaidi.

Umoja wa ulaya utaisaidia Uturuki dola za kimarekani milioni themanini,kwa wakimbizi wa kivita baina ya Syria na Uturuki.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Muhimbili Yaendelea Kupokea Misaada

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) leo imepokea msaada wa vifaa mbalimbali vitakavyotumika kuwahudumia wagonjwa katika hospitali hiyo.
Msaada wa vitanda kumi utatumika katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) pamoja na wodi nyingine. Msaada huo umetolewa na Jumuiya ya Australia na Tanzania.
Vifaa vingine vilivyotolewa ni pamoja na  Stretcher’  nne zitakazotumika kusafirishia wagonjwa ambao hawawezi kukaa, kifaa cha kufanyia  mazoezi  kwa wagonjwa  na baiskeli ya magurudumu matatu.
 Akipokea...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtoto anayelisha familia aanza kupokea misaada

BAADA ya gazeti hili kuandika makala kuhusu mtoto Hamad Nuruabeid (4) anayeishi Mkata Mashariki, wilayani Handeni, Mkoa wa Tanga ambaye analisha familia yake kwa kuokota chupa tupu za maji, ameanza...

 

9 years ago

Dewji Blog

Pinda aendelea kupokea misaada ya vifaa mbalimbali kusaidia shule mpya ya msingi Kakuni Mkoani Katavi

PM -1

Mwakilishi wa Kampuni ya HUAWEI nchini Tanzania Bw. Jimmy Liguo Jin (kushoto) akimkabidhi Waziri Mkuu  Mhe. Mizengo Pinda sehemu ya msaada wa kompyuta mpakato zilizotolewa na kampuni hiyo kusaidia wanafunzi wa shule mpya ya Msingi ya Kakuni  iliyo katika kijiji cha Kibaoni mkoani Katavi leo jijini Dar es salaam. Shule hiyo ya kisasa imeanzishwa kufuatia  wazo la Wazo la Waziri Mkuu, Mhe.Mizengo Pinda la kuwa na shule Bora na ya kisasa katika kijiji hicho na inajengwa kupitia michango na...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AENDELEA KUPOKEA MISAADA YA VIFAA MBALIMBALI KUSAIDIA SHULE MPYA YA MSINGI KAKUNI MKOANI KATAVI

 WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mizengo Peter Pinda amepokea Msaada wa Vifaa vya Shule ikiwemo sare, Kompyuta pamoja na vifaa vya Michezo kutoka kampuni ya Huawei na Benki ya NMB.
 Pinda amepokea misaada hiyo kutoka Kampuni hizo kwa lengo la kuzindua mradi wa ujenzi wa Shule ya Msingi Kakuni katika kijiji cha Kibaoni Wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi.

Shule ya Msingi Kakuni iliyopo kijiji cha Kibaoni Mkoani Katavi ni Shule aliyosoma Waziri Mkuu huyo Mhe,Mizengo Pinda.

Mradi huo wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Misaada zaidi inahitajika mwakani:UN

Mkuu wa kitengo cha misaada cha Umoja wa Mataifa Valerie Amos ,amesema hali ya sasa nchini Syria ni doa katika jamii ya kimataifa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Misaada zaidi yahitajika Syria

Mkuu wa maswala ya kibinaadam wa umoja wa mataifa,Valerie Amos ataka misaada zaidi ipelekwe Syria

 

10 years ago

BBCSwahili

Uturuki yathamini wanawake zaidi.

Raisi wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan,ametoa kauli kuwa wanawake hawako sawa na wanaume kutokana na tofauti zao za kimaumbile.

 

10 years ago

StarTV

Tanzania yahofiwa kutegemea zaidi misaada.

Na Ramadhan Mvungi,

Arusha.

 

Watafiti kutoka asasi na mashirika yasiyo ya kiserikali nchini wamebainisha kuwa huenda Tanzania ikajikuta katika utegemezi zaidi wa misaada kutoka kwa mataifa yaliyoendelea iwapo juhudi za makusudi na za haraka hazitachukuliwa kudhibiti vitendo vya uharibifu wa mali za Umma.

 

Tatizo jingine ni usimamizi mbovu wa rasilimali ikiwemo ukusanyaji hafifu wa mapato yanayotokana na rasilimali za maliasili za madini na gesi.

 

Katika mdahalo uliofanyika jijini...

 

9 years ago

GPL

MILIPUKO YAUA WATU ZAIDI YA 52 UTURUKI

Majeruhi wakiokolewa kutoka eneo la tukio. Hali ya sintofahamu ikitanda eneo la tukio. Hali ilivyokuwa baada ya mashambulizi hayo Waliojeruhiwa wakisaidiwa na ndugu na jamaa zao.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani