Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Misaada zaidi inahitajika mwakani:UN

Mkuu wa kitengo cha misaada cha Umoja wa Mataifa Valerie Amos ,amesema hali ya sasa nchini Syria ni doa katika jamii ya kimataifa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Inahitajika ‘sapoti’ zaidi Siku ya Wanawake Duniani

KILA ifikapo Machi 8 kila mwaka,  dunia nzima huadhimisha Siku ya Wanawake Duniani. Kwa kuwa mama au mwanamke ni nguzo kubwa katika jamii, hivyo sina shaka kwamba, kila mmoja atakubaliana...

 

11 years ago

BBCSwahili

Misaada zaidi yahitajika Syria

Mkuu wa maswala ya kibinaadam wa umoja wa mataifa,Valerie Amos ataka misaada zaidi ipelekwe Syria

 

10 years ago

BBCSwahili

Uturuki kupokea misaada zaidi.

Umoja wa ulaya utaisaidia Uturuki dola za kimarekani milioni themanini,kwa wakimbizi wa kivita baina ya Syria na Uturuki.

 

10 years ago

StarTV

Tanzania yahofiwa kutegemea zaidi misaada.

Na Ramadhan Mvungi,

Arusha.

 

Watafiti kutoka asasi na mashirika yasiyo ya kiserikali nchini wamebainisha kuwa huenda Tanzania ikajikuta katika utegemezi zaidi wa misaada kutoka kwa mataifa yaliyoendelea iwapo juhudi za makusudi na za haraka hazitachukuliwa kudhibiti vitendo vya uharibifu wa mali za Umma.

 

Tatizo jingine ni usimamizi mbovu wa rasilimali ikiwemo ukusanyaji hafifu wa mapato yanayotokana na rasilimali za maliasili za madini na gesi.

 

Katika mdahalo uliofanyika jijini...

 

11 years ago

Habarileo

Waathirika mafuriko Kilosa wahitaji misaada zaidi

SERIKALI ya Mkoa wa Morogoro inahitaji misaada zaidi ya kibinadamu, itakayowasaidia watu zaidi ya 8,000 waliokumbwa na mafuriko katika Kata tatu ya Magole, Dumila na Berega zilizopo Tarafa ya Magole, wilayani Kilosa. Misaada hiyo inatakiwa kutokana na makazi yao kubomoka na kujaa maji ya mafuriko na kupoteza vyakula.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Ufaransa yaahidi misaada zaidi kwa Tanzania

AFD ni Taasisi ya kifedha ya Ufaransa na ndiye mtekelezaji Mkuu wa misaada ya kimaendeleo ya nchi hiyo kwa nchi zinazoendelea na zile zenye ngome ya Ufaransa zilizopo katika nchi nyingine duniani kote.

Taasisi hii inatoa fedha kwa miradi ya maendeleo katika zaidi ya nchi 90 zikiwemo nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Mwandishi wa makala hii alifanya mahojiano na Mkurugenzi wa taasisi ya AFD kwa nchi za Afrika Mashariki, Yves Boudot kama ifuatavyo.

Raia Tanzania: Kwa faida ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Busara ya Ukawa sasa inahitajika

Sauti za viongozi wa kisiasa, kiserikali na madhehebu ya dini kuwaasa na kuwasihi Ukawa warejee bungeni zimesikika, kazi sasa ni kwa wajumbe wa kundi hilo kuitikia wito huo au kuziba masikio.

 

11 years ago

Mwananchi

Tume Huru inahitajika kura ya maoni

Kipengele cha kuidhinisha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (Zec) kusimamia Kura ya Maoni, 2013, kimeibua malalamiko na mijadala mizito kutoka kwa wataalamu wa masuala ya katiba nchini.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Elimu ya uchaguzi inahitajika kwa vijana

HUU ni mwaka wa uchaguzi, ifikapo mwezi wa nane nchi itakuwa katika harakati za kutafutwa rais wa awamu ya tano kurithi kiti cha Rais Jakaya Kikwete.

Mbali ya nafasi ya rais, nafasi nyingine zitakazowaniwa ni Wabunge na Madiwani kujaza nafasi zinazoachwa au kupigania nafasi moja katika majimbo au kata.

Lakini Watanzania wengi ambao wanaaminiwa kupiga kura ili kupatikana maamuzi ya mwisho ya kuwaweka madarakani viongozi hao wanashindwa kutimiza wajibu wao wa kushiriki kupiga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani