Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uturuki yathamini wanawake zaidi.

Raisi wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan,ametoa kauli kuwa wanawake hawako sawa na wanaume kutokana na tofauti zao za kimaumbile.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Uturuki kupokea misaada zaidi.

Umoja wa ulaya utaisaidia Uturuki dola za kimarekani milioni themanini,kwa wakimbizi wa kivita baina ya Syria na Uturuki.

 

9 years ago

GPL

MILIPUKO YAUA WATU ZAIDI YA 52 UTURUKI

Majeruhi wakiokolewa kutoka eneo la tukio. Hali ya sintofahamu ikitanda eneo la tukio. Hali ilivyokuwa baada ya mashambulizi hayo Waliojeruhiwa wakisaidiwa na ndugu na jamaa zao.…

 

11 years ago

Bongo5

Makamu Waziri Mkuu wa Uturuki apiga marufuku wanawake kucheka hadharani

Wanawake nchini Uturuki wanapost picha zao kwenye mitandao ya kijamii zinazowaonesha wakicheka. Kwanini? Kwa mujibu wa makamu waziri mkuu wa Uturuki Bulent Arinc, wanawake hawatakiwi kucheka hadharani. Maoni yake aliyoyatoa Jumatatu hii yamesababisha upingwaji mkubwa ambapo wanawake nchini humo wametumia Twitter na Instagram kupost picha wakicheka kumdhihaki. Hadi sasa kuna zaidi ya 300,000 zinazotumia neno […]

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Kwa nini ugonjwa huo ni hatari zaidi kwa wanaume zaidi ya wanawake

Wanaume wengi wamekutwa na ugonjwa huo zaidi na wanaonekana kupatwa na maafa mabaya.

 

9 years ago

StarTV

Serikali yathamini mchango wa wafanyabiashara kwa Kusaidia Waliopata Majanga

Mkuu wa Wilaya ya Songea Benson Mpesya amewataka wafanyabiashara kutambua kuwa Serikali inathamini mchango wao hasa pale wanapoungana na Serikali kuwasaidia wananchi wanapopatwa na majanga.

Mpesya amesema hayo alipokuwa akipokea mabati 112 na misumari ya bati kutoka kwa wafanyabiashara wa manispaa ya Songea kwa lengo la kuwasaidia wananchi walioezuliwa nyumba zao na upepo mkali ulioambatana na mvua na kuziacha familia 15 bila kuwa na mahali pa kuishi.

 Mkuu wa Wilaya ya Songea Benson Mpesya...

 

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UTURUKI PAMOJA NA JOPO LA WAWEKEZAJI KUTOKA NCHINI UTURUKI.


************************************Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo February 18 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Ali Davulaglu, Balozi wa Tanzania Nchini Uturuki Prof.Elizabeth Kiondo, Mstahiki Meya kutoka Uturuki, Wawekezaji na Wafanyabiashara zaidi ya 40 kutoka Nchini Uturuki waliokuja Kutazama na kuchangamkia fursa za Uwekezaji wa Viwanda jijini Dar es salaam.Katika Mazungumzo hayo RC Makonda ...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanawake zaidi watekwa nyara Nigeria

Inaripotiwa kuwa wanawake pamoja na wasichana sitini wametekwa nyara Kaskazini Mashariki mwa Nigeria wiki iliyopita.

 

10 years ago

Habarileo

Wanawake zaidi ya 1,000 kuchunguzwa saratani

ZAIDI ya kinamama 1,000 wa Mkoa wa Dodoma wanatarajia kufanyiwa uchunguzi wa satarani ya matiti. Kazi hiyo itafanyika kwa muda wa siku tano katika viwanja vya Nyerere Square mjini hapa.

 

9 years ago

Mtanzania

Wasanii wanaovutia zaidi wanawake wawapo jukwaani

Ali kiba asanteni sanadiamond-numzBob JuniorChristian BellaNA RHOBI CHACHA

MUME wa mwigizaji mashuhuri duniani, Angelina Jolie, Brad Pitt, mwanamuziki anayeendelea kutamba na wimbo wa ‘Happy’, Pharrell William, Justine Beiber na wengine wengi waliwahi kutangazwa kuwa ndio wasanii wenye mvuto zaidi kwa wanawake nchini Marekani.

Hata hapa Tanzania makampuni mengi yamewahi kuendesha mashindano ya kushindanisha mvuto wa wasanii kwa namna tofauti, lakini sisi tumefanya uchunguzi kwa baadhi ya wasanii wa kiume wenye mvuto mkubwa kwa mashabiki wa kike...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani