Wasanii wanaovutia zaidi wanawake wawapo jukwaani
NA RHOBI CHACHA
MUME wa mwigizaji mashuhuri duniani, Angelina Jolie, Brad Pitt, mwanamuziki anayeendelea kutamba na wimbo wa ‘Happy’, Pharrell William, Justine Beiber na wengine wengi waliwahi kutangazwa kuwa ndio wasanii wenye mvuto zaidi kwa wanawake nchini Marekani.
Hata hapa Tanzania makampuni mengi yamewahi kuendesha mashindano ya kushindanisha mvuto wa wasanii kwa namna tofauti, lakini sisi tumefanya uchunguzi kwa baadhi ya wasanii wa kiume wenye mvuto mkubwa kwa mashabiki wa kike...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
MWASITI AWATAKA WASANII WABADILIKE NA WAZINGATIE MAADILI WAWAPO JUKWAANI


10 years ago
Bongo510 Jan
Video: Models 10 wa video za muziki Tanzania waliofanya vizuri/wanaovutia zaidi 2014/2015
10 years ago
Bongo503 Jan
Wasanii wa Rwanda wachukizwa na kauli ya Diamond kuwa hawajitangazi kimataifa, mmoja amdiss jukwaani!
5 years ago
BBCSwahili29 Apr
Virusi vya Corona: Kwa nini ugonjwa huo ni hatari zaidi kwa wanaume zaidi ya wanawake
10 years ago
Mwananchi31 Jan
Wasanii walamba zaidi ya Sh150 milioni shoo ya Tigo
9 years ago
Global Publishers01 Jan
Makosa wafanyayo wapenzi wawapo chumbani-2
Heri ya Mwaka Mpya! Mimi na wewe tunapaswa kumshukuru Mungu kwa kutuvusha salama kutoka mwaka 2015 mpaka leo hii tunapouanza mwaka mwingine wa 2016. Ni wiki nyingine tunapokutana tena katika ukurasa wetu huu mzuri. Wiki iliyopita tulijadiliana kwa kina kuhusu makosa wanayoyafanya wanandoa wengi wawapo vyumbani na wenzi wao.Leo tunaendelea kuanzia pale tulipoishia wiki iliyopita.
2. KUWA BIZE NA SIMU AU TV MUDA WA KULALA
Utandawazi umekuja na mambo mengi, simu zenye intaneti (smartphones)...
9 years ago
Global Publishers25 Dec
Makosa wafanyayo wapezi wawapo chumbani
Uhali gani msomaji wangu! Ni matumaini yangu kwamba u mzima wa afya na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku.
Kama kawaida, tunakutana tena kwenye bustani yetu nzuri ambapo tunajadiliana na kujuzana mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi.
Kama mada inavyojieleza hapo juu, leo ningependa kujadiliana na wewe msomaji wangu kuhusu makosa ambayo watu wengi huwa wanayafanya wawapo chumbani na wenzi wao, hususan wanandoa au wapenzi wanaoishi pamoja.
Wapenzi wengi wanaishi kwa...
11 years ago
Tanzania Daima07 Mar
Siku ya Wanawake iwe mwanzo mpya kwa wasanii wetu wa kike
MACHI 8 ya kila mwaka ni Siku ya Wanawake Duniani, ambayo husherehekewa kote duniani, ambapo Watanzania wanaungana na wengine kuipokea siku hiyo chini ya kaulimbiu ambayo kwa mwaka huu ni...