Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanawake zaidi ya 1,000 kuchunguzwa saratani

ZAIDI ya kinamama 1,000 wa Mkoa wa Dodoma wanatarajia kufanyiwa uchunguzi wa satarani ya matiti. Kazi hiyo itafanyika kwa muda wa siku tano katika viwanja vya Nyerere Square mjini hapa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Salma Kikwete ahimiza wanawake kuchunguzwa saratani

ASILIMIA 90 ya akina mama wanaosumbuliwa na saratani ya mlango wa kizazi wanafia majumbani, kwenye zahanati na vituo vya afya kutokana na kutogundulika mapema kwa viashiria vya ugonjwa huo.

 

10 years ago

Habarileo

Wanawake 1,000 wapima saratani ya matiti

WANAWAKE zaidi ya 1,000, wamejitokeza kupimwa saratani ya matiti bure katika miezi minne ya kampeni inayoendeshwa na Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam.

 

9 years ago

StarTV

Zaidi ya Wajasiriamali 17,000 wajikwamua kiuchumi kupitia Mikopo ya Benki Ya Wanawake

Zaidi ya wanawake wajasiriamali 17,000 wamejikwamua kiuchumi kutokana na kupata mitaji kwa njia ya mikopo kutoka Benki ya wanawake ambayo imekuwa ikitoa mikopo ya viwango vya aina mbalimbali kusaidia wajasiriamali.

Benki hiyo ya wanawake ambayo imetimiza miaka 6 tangu kuanzishwa kwake imeweza kutengeneza faida kubwa kutokana na kuboresha huduma zake katika matawi mbalimbali nchini.

 Benki ya wanawake Tanzania imekuwa miiongoni mwa Benki ambayo imekuwa mstari wa mbele kusaidia wananchi wa...

 

10 years ago

Habarileo

Wanawake 200 wachunguzwa saratani

WANAWAKE zaidi ya 200 jana walijitokeza katika kambi ya bure ya uchunguzi wa saratani ya matiti katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam, kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi pamoja na kupata ushauri kuhusu saratani ya matiti.

 

11 years ago

Mwananchi

Saratani yawatesa zaidi Watanzania

>Februari 4, kila mwaka ni Siku ya Saratani Duniani.Siku hii huadhimishwa kila nchi  kutokana na ukubwa wa tatizo  hilo. Taarifa zinaonyesha Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizo Kusini mwa Jangwa la Sahara, zenye ongezeko kubwa la wagonjwa wa saratani.

 

9 years ago

Mwananchi

Aga Khan yachunguza saratani wanawake

Hospitali ya Aga Khan Mwanza imeanza kuwafanyia uchunguzi wa saratani mbalimbali wanawake, huku ikitoa wito kuwataka wajitokeze zaidi ili kujua afya zao.

 

11 years ago

Habarileo

JK ahimiza wanawake kujitokeza kupima saratani

Rais Jakaya KikweteSERIKALI imeweka mikakati ya kuhakikisha inapunguza vifo vinavyotokana na saratani ya mlango wa kizazi na matiti nchini.

 

11 years ago

Habarileo

Wanawake 100 salama na saratani ya kizazi

ZAIDI ya wanawake 100 waliojitokeza kupima maambukizi ya ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi katika Jukwaa la Familia Kitchen Party Gala, lililofanyika Dar es Salaam juzi, wamethibitika kutokuwa na ugonjwa huo.

 

5 years ago

AnandTech

Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19

Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19  AnandTechView Full coverage on Google News

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani