China yazipatia nchi tatu dola milioni 85 kukabili ebola
SERIKALI ya Jamhuri ya Watu wa China imetangaza kuwa, kwa mara ya nne katika kipindi kifupi inapeleka msaada wa dawa, vifaa na mahitaji mengine ya tiba yenye thamani ya dola za Marekani milioni 85 kukabiliana na ugonjwa wa ebola kwa nchi tatu za Afrika Magharibi, ambazo zinapambana na ugonjwa huo, ambao mpaka sasa umeua zaidi ya watu 4,000.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog05 Aug
Nchi wahisani watoa dola za Marekani milioni 802.15 kukabili mabadiliko ya tabia nchi
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Huru ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), Dk. Tausi Kida akimkaribisha ofisini kwake Mwakilishi wa mtandao wa FANPRAN, Sithembile Ndema kwa ajili ya kusaini kitabu cha wageni kabla ya kuelekea kwenye ukumbi wa mikutano.(Picha na Zainul Mzige wa modewjiblog).
Na Mwandishi wetu
JUMLA ya dola za Marekani milioni 802.15 zimetolewa na nchi wahisani katika kusaidia mapambano dhidi ya mabadiliko ya tabia nchi katika kipindi cha miaka miaka mine iliyopita.
Hayo...
9 years ago
BBCSwahili11 Oct
Aliyeiba dola Milioni 100 arejeshwa China
10 years ago
Habarileo20 Oct
Nchi za EAC zaunganisha nguvu kukabili ebola
MAWAZIRI wa Afya wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wameweka mikakati madhubuti ya kupambana na ugonjwa wa ebola ili ugonjwa huo usiweze kuingia kirahisi katika nchi hizo.
5 years ago
MichuziBAJETI YA FEDHA ZAIDI YA DOLA MILIONI 94 YAPITISHWA JUMUIYA YA SADC, MAWAZIRI WAWEKA MKAKATI KUKABILI CORONA...WAZIRI PROF. KABUDI ATOA NENO
JUMUIYA ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika(SADC)imepitisha bajeti ya fedha ya Dola za Marekani milioni 94,913,815 kwa mwaka 2020/ 2021.
Akizungumza mbele ya waandishi wa habari baada ya kikao cha Baraza la Mawaziri wa Jumuiya hiyo Katibu Mtendaji wa Jumuiya hiyo Dk.Stergomena Tac amesema fedha hizo zitatumika kwenye masuala mbalimbali yanayohusu Jumuiya.
"Pamoja na ajenda mbalimbali ambazo zimejadiliwa ,pia Jumuiya imepitisha bajeti ya fedha kwa...
10 years ago
Bongo509 Oct
Ebola kuzigharimu nchi za Afrika Magharibi dola bilioni 32
9 years ago
Bongo523 Oct
The CEO: Filamu inayofanyika kwenye nchi zaidi ya tano Afrika, bajeti yake ni dola milioni 1
11 years ago
Mwananchi22 Jan
Chadema kutikisa nchi; Helikopta tatu kurushwa nchi nzima
11 years ago
Dewji Blog30 May
Dkt. Bila afungua mkutano wa tatu wa Baraza la Mawaziri wa nchi za maziwa makuu na nchi majirani za umoja wa kudhibiti Silaha ndogo (RECSA)
kamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano Maalum wa tatu wa Baraza la Mawaziri wa Nchi za Maziwa Makuu na Nchi Majirani zinazounda Umoja wa kudhibiti Silaha ndogo (RECSA), uliofanyika leo mchana kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam. Umoja huo unaundwa na nchi 15 ambazo ni Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Ethiopia, Somalia, Sudan, Sudan Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC),...
9 years ago
Mtanzania30 Sep
Kinondoni yatumia milioni 500/- kukabili kipindupindu
NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM
HALMASHAURI ya Manispaa ya Kinondoni imetumia zaidi ya Sh milioni 500 kupambana na kipindupindu tangu kilipozuka Agosti 15 mwaka huu.
Hadi sasa watu 1194 wameugua ugonjwa huo katika Manispaa hiyo na 17 wamefariki dunia.
Akizungumza baada ya kupokea msaada wa dawa na vifaa tiba uliotolewa na Benki ya CRDB, Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Mussa Natty, alisema kila siku kuna wagonjwa wapya wanaripotiwa na jana walikuwa 15.
Msaada huo wenye thamani ya Sh milioni...