CHRISTIANO RONALDO 'CR7', MABAO 500

Mshambuliaji wa Real Madrid, Christiano Ronaldo akikabidhiwa kiatu cha dhahabu na Rais wa timu hiyo, Florentino Pérez wakati wa hafla ya kumpogeza mchezaji huyo. Christiano Ronaldo akiwa na mama yake na mwanaye. Perez akiwahutubia wachezaji na viongozi wa Madrid Ronaldo na Familia yake Christiano Ronaldo akitoa neno.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
CHRISTIANO RONALDO ATWAA TUZO YA FIFA BALLON D'OR 2013
11 years ago
GPL
CRISTIANO RONALDO 'AKOPI NA KUPESTI' STAILI YA MARIO BALOTELLI
10 years ago
GPL
NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI
10 years ago
GPL
MKE WA OBAMA ASHEREHEKEA BETHIDEI YA MIAKA 5 YA KAMPENI YAKE YA 'LET'S MOVE' KWA DANSI
10 years ago
GPLCHRISTIAN BELLA 'KING OF THE BEST MELODIES' AAHIDI MAKUBWA SHOO YA VALENTINE'S DAY, DAR LIVE
10 years ago
Mtanzania02 Oct
Cristiano Ronaldo afikisha mabao 500
MADRID, HISPANIA
NYOTA wa timu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo, amefanikiwa kufikisha mabao 500 katika historia yake ya soka baada ya juzi kuifungia klabu yake mabao mawili katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Malmo.
Mabao hayo ya Ronaldo yametokana na kucheza michezo 753 katika klabu mbalimbali pamoja na timu yake ya taifa ya Ureno.
Hata hivyo, amekuwa ni mchezaji ambaye anaongoza kwa mabao mengi katika michuano ya Ligi ya Mabingwa, huku akiwa na jumla ya mabao 82, akimuacha...
11 years ago
GPL14 May
11 years ago
GPL
BAADA YA KIPIGO CHA 4-0, EKOTTO AMTWANGA 'NDOO' MWENZAKE
11 years ago
GPL
STEVE NYERERE AWAANDALIA 'DINNER' MASTAA NA WADAU WA FILAMU