Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHRISTIANO RONALDO ATWAA TUZO YA FIFA BALLON D'OR 2013

Christiano Ronaldo. MCHEZAJI wa Real Madrid na timu ya Taifa ya Ureno, Christiano Ronaldo ametwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Dunia 2013 (Ballon d'O 2013) usiku huu jijini Zurich, Switzerland na kuwabwaga wenzake Lionel Messi na Frank…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ronaldo atwaa tuzo ya FIFA Duniani 2015

Mshambuliaji wa Ureno Cristiano Ronaldo ameibuka mshindi katika tuzo ya FIFA kama mwanasoka bora duniani mwaka 2015.

 

9 years ago

GPL

CHRISTIANO RONALDO 'CR7', MABAO 500

Mshambuliaji wa Real Madrid, Christiano Ronaldo akikabidhiwa kiatu cha dhahabu na Rais wa timu hiyo, Florentino Pérez wakati wa hafla ya kumpogeza mchezaji huyo. Christiano Ronaldo akiwa na mama yake na mwanaye. Perez akiwahutubia wachezaji na viongozi wa Madrid Ronaldo na Familia yake Christiano Ronaldo akitoa neno.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Cristiano Ronaldo atwaa tuzo ya BBC.

Cristiano Ronaldo ametwaa tuzo ya mwanamichezo bora wa mwaka wa shirika la utangazaji la BBC.

 

11 years ago

GPL

NANI KUTWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA DUNIA (BALLON D'OR) LEO?

TUZO ya Mchezaji Bora wa Dunia (Ballon d'Or) inatolewa leo jijini Zurich, Switzerland, lakini kitendawili kinabaki ni mchezaji gani kati ya hawa Christiano Ronaldo, Lionel Messi na Frank Ribery ataibuka na tuzo hiyo?

 

10 years ago

BBCSwahili

Tuzo Fifa:Ronaldo,Messi,Neuer nani bora?

Fifa imewataja Cristiano Ronaldo, Lionel Messi na Manuel Neuer kuwania Tuzo ya mchezaji bora wa Dunia.

 

10 years ago

Vijimambo

Cheki Christiano Ronaldo Akiwa Kwenye Vazi La Kanzu Huko Dubai

Cristiano Ronaldo akiwa kwenye mavazi ya kiislam akipiga picha na mashabiki huko Dubai.Mchezaji nyota wa mpira wa miguu anaeichezea timu kubwa tajiri duniani Real Madrid alionekana na kupigwa picha na mapaparazi kwenye matembezi yake binafsi Dubai akiwa amevalia mavazi ya Kiislam na yaliompendeza sana.Cristiano Ronaldo ambaye yeye si Muislam lakini alipendezwa na uvaaji huo kwani alisema aliona watu wengi waishio Dubai ndio vazi lao kuu na kwanini yeye asiwe miongoni mwa waliovaa vazi hilo....

 

10 years ago

GPL

MTOTO WA CHRISTIANO RONALDO AONYESHA KIWANGO KWA KUUCHEZEA MPIRA KAMA BABA YAKE

Cristiano Jnr akionyesha uwezo wa kuuchezea mpira akiwa ufukweni katika Visiwa vya Bahamas. ...Dogo huyo akizidi kuonyesha makali yake. Zaidi, ingia hapa:==>> …

 

10 years ago

BBCSwahili

Ballon d'Or:Bale na Ronaldo waorodheshwa

Mshambuliaji wa Wales Gareth Bale ndio mchezaji wa kipekee wa Uingereza kuorodheshwa kati tuzo la mchezaji bora zaidi duniani

 

9 years ago

TheCitizen

Ronaldo, Messi in 23-man Ballon d´Or shortlist

Real Madrid forward Cristiano Ronaldo and Barcelona’s Lionel Messi are among the 23 players shortlisted for 2015 Fifa Player of the Year famously known as Ballon d'Or.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani