CHUCHU HANS ACHARUKA MADAI YA USALITI
![](http://api.ning.com:80/files/4YilfwQJfCvfcC0wM09qCuKZpYSHFEwk6CyShuIp4Oob83jPdsRfxMXWPzqMVC0jM-dcyujdcarO7wJllrc5dWUcCKQg8Mgo/Hans.jpg)
Stori: Laurent Samatta KIMENUKA! Msanii wa filamu, Chuchu Hans ambaye ni mpenzi wa wa nguli wa filamu Bongo, Vicent Kigosi ‘Ray’, amecharuka ishu ya kumsaliti mpenzi wake huyo na jamaa anayedaiwa kuwa ni mfanyabiashara anayeishi maeneo ya Mbezi Beach Dar. Msanii wa filamu, Chuchu Hans. Chanzo kinasema pamoja na Chuchu kuwa na Ray kwa muda wote, lakini inadaiwa kuwa muda fulani amekuwa akitoka na kwenda Mbezi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies17 Dec
HAPA NA PALE:Chuchu Hans Adaiwa Kumsaliti Ray kwa Mfanyabiashara….Chuchu Afunguka
Inasemekana penzi kati ya waigizaji Chuchu Hans na Visent Kigosi “Ray” limeingia mtegoni baada ya Chuchu Hans kusemekana kumsaliti mpenzi wake Ray kwa jamaa anayedaiwa kuwa ni mfanyabiashara anayeishi maeneo ya Mbezi Beach Dar.
Chanzo kinasema pamoja na Chuchu kuwa na Ray kwa muda wote, lakini inadaiwa kuwa muda fulani amekuwa akitoka na kwenda Mbezi anapoishi kijana huyo.
Hata hivyo paparazi wetu aliamua kumvutia waya Chuchu na kuzungumza naye ishu hiyo ambapo alidai stori hizo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wxWEJX1q6db7jayaCRoC2zGr2yLUjMhact411lVYXkFF8pObpn6XM8EpRbuVphY8eR*vz5n11j6u0Jq-gEKHNHp8tAJ90H84/ray.jpg?width=650)
RAY, CHUCHU HANS NI PIGO!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yO1JdgjIDGbOpEOMxYzuvAQbkSz6dN6uWCBQ1WMoyE88Bw5z9p8qzYtJPiuqwCpNAyws5XI7gOWvaCBcgLW-UhMF*Mxsebje/kajalaz.jpg)
MADAI YA KUCHEPUKA KAJALA ACHARUKA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5Y36hMbSNo*lW94JWgS3g-IUZLmIcsQxpdpLAep2p8dtKd4O36cfKeW2784Q-CdFymbAQqEpuD6XkdL6gWh8MJLx7m649oq4/chuchu.jpg?width=650)
MAPENZI YA CHUCHU HANS, RAY NI YA NJIWA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bco3t9J7*tTDCvfFf8D19TVmn6Hb9296M*tplgJI2YQPGBhUkBbXItBqdeTnCg1sPdfhwOjdmyAwbFenvQtLkiDs4b7G3RAF/JUMAMOSI.jpg)
CHUCHU HANS AFUNGUKIA KUACHANA NA RAY
9 years ago
Bongo Movies17 Sep
Chuchu Hans Aanika Siri ya Kumkoleza Ray
NINA imani mu-wazima wa afya wasomaji wetu, kama kawa kwenye kolamu hii tumekuwa tukiwaleta mastaa tofautitofauti na kufunguka mambo mbalimbali yahusuyo maisha yao kwenye sanaa na nje ya fani.
Leo tunaye staa wa filamu Bongo, Chuchu Hans ambaye ni mwandani wa msanii mkongwe kwenye ulimwengu wa filamu Bongo, Vincent Kigosi `Ray’ aliyeweza kufunguka mambo mbalimbali kutokana na maswali aliyoulizwa na wasomaji wetu katika kolamu hii wiki iliyopita na kuyatolea ufafanuzi bila hiyana.
Msomaji:...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oJI0y6HlVvQEP5fQvVYJ5H-IjwgfTB*BioJUL5gVBOL8ZwaGRbYrSoVdprgdoJjmZtjk5n2q4Mnpoj5l8aeQ9kScz9h1BhOH/Ray.jpg)
RAY, CHUCHU HANS WAONESHANA MAHABA HADHARANI!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3I-9LvQkoOSYXxVKYjn6oqZ9P35XLnWZQk3Wr6Xc-IW-GNPcTrq0dxRzwNlnFcS8m4ZQKQWztB0CAFtZ683SCd0vMTRDdLaa/johari.jpg?width=650)
JOHARI AWARUSHA ROHO RAY, CHUCHU HANS
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zYvUvcLXovBMQDbhofz1e75dzNPuAi0noIHpSJlbHYMp6uSXuNdCBteem3uU*rVB31iXRgRbYqKZdDjc1faxvn8XHDxceE6F/MAMAWEMA.jpg)
CHUCHU HANS UNALETA UTANI KWENYE SIASA EE!