Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MADAI YA KUCHEPUKA KAJALA ACHARUKA

Stori: Musa Mateja
BAADA ya kuzagaa kwa taarifa mbalimbali kwamba mwigizaji wa Bongo, Kajala Masanja anachepuka nje, ameibuka na kukanusha madai hayo akisema hayana ukweli wowote. Mwigizaji wa Bongo movie Kajala Masanja Mitandao mbalimbali ya kijamii imekuwa ikiposti taarifa mbalimbali zinazomhusisha Kajala kutembea na wanaume tofauti kitu ambacho mwenyewe amesema hakina ukweli na wanaosambaza uvumi huo, wakome. Akizungumza...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

CHUCHU HANS ACHARUKA MADAI YA USALITI

Stori: Laurent Samatta
KIMENUKA! Msanii wa filamu, Chuchu Hans ambaye ni mpenzi wa wa nguli wa filamu Bongo, Vicent Kigosi ‘Ray’, amecharuka ishu ya kumsaliti mpenzi wake huyo na jamaa anayedaiwa kuwa ni mfanyabiashara anayeishi maeneo ya Mbezi Beach Dar. Msanii wa filamu, Chuchu Hans. Chanzo kinasema pamoja na Chuchu kuwa na Ray kwa muda wote, lakini inadaiwa kuwa muda fulani amekuwa akitoka na kwenda Mbezi...

 

9 years ago

GPL

MADAI MAZITO; KAJALA AMHARIBU MWANAYE!

Brighton Masalu MSALA! Kuna madai mazito yanayosema kuwa nyota wa filamu Bongo, Kajala Masanja ambaye alizaa na ‘prodyuza’ mkali wa muziki wa kizazi kipya, Paul Matthyssen ‘P Funk’ anamharibu mtoto wao anayefahamika kwa jina la Paula. Nyota wa filamu Bongo, Kajala Masanja. Chanzo ambacho pia ni rafiki wa karibu wa familia ya bosi huyo wa Bongo Records, kinasema wazazi hao hivi sasa wako katika mvutano mkubwa kutokana na...

 

10 years ago

GPL

MADAI KAJALA AMPA DONGO WEMA

Brigthon Masalu
KAJALA Masanja ambaye ana bifu na aliyekuwa shosti wake mkubwa, Wema Sepetu ‘Madam’ amedaiwa kumpa rafiki yake huyo wa zamani ujumbe unaoashiria upendo kwa kuvaa gauni lenye maandishi yaliyosomeka “Love will save us” yakimaanisha upendo utatuokoa. Staa wa filamu Bongo, Kajala Masanja. ‘Katukio’ hako kalinaswa na mwandishi wetu mwishoni mwa wiki iliyopita ndani ya Ukumbi wa...

 

9 years ago

StarTV

Mwili waharibika kwa madai ya kuhifadhiwa chini kwa  madai ya uzembe Sekou Toure

Mwili wa kijana aliyekuwa akiishi mitaani jijini Mwanza marehemu Baraka Hamisi hatimaye umezikwa baada ya kukosa hifadhi katika jokofu la maiti kwa takribani siku sita katika Hospitali ya Mkoa wa Mwanza Sekou Toure

Marehemu Bakari Hamisi mwenye umri wa miaka 22 kijana wa mitaani aliyekuwa akijishughulisha na biashara ndogondogo alifariki dunia alipokuwa akipelekwa hospitalini hapo na vijana wenzake wa mitaani kwa ajili ya kupata matibabu.

Awali kabla ya kufikwa na mauti, vijana wenzake wa...

 

11 years ago

Bongo Movies

Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala


Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji  Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari  ambayo  ilisambaa  katika  mitandao  mbalimbali  ya  kijamii.

Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...

 

10 years ago

GPL

ZIJUE SABABU ZA WANAUME KUCHEPUKA!-2

NI matumaini yangu wapenzi wasomaji wa safu hii mko poa. Leo tunamalizia vipengele vilivyosalia wiki iliyopita, ungana nami. 6.Karaha
Hili pia ni tatizo la wanawake ambalo hawapendi kulikubali. Karaha nyumbani dhidi ya mwanaume huweza kumfanya ajisikie kuhitaji faraja nje ya nyumba. Na wanawake wengi wakimuona mwanaume yupo peke yake baa, hujua kuwa atakuwa amekimbia maudhi ya mkewe na anahitaji faraja. 7.Huruma ya wanawake
...

 

10 years ago

GPL

STRESS HAZIPUNGUZWI KWA KUCHEPUKA!

LABDA haijawahi kukukuta, lakini maisha tunayoishi katika wakati wa sasa yanasababisha watu wengi wanapatwa na msongo wa mawazo, maarufu kama stress. Hali ni mbaya kwa wafanyakazi wenye mabosi wakorofi na hata wafanyabiashara wanaoyumba kiuchumi. Lakini inakuwa mbaya zaidi mambo yanapoharibika ndani ya familia, kwa maana ya wanandoa au walio katika uhusiano wa kimapenzi. Ingawa sina takwimu kamili, lakini uzoefu unaonyesha...

 

10 years ago

GPL

ZIJUE SABABU ZA WANAUME KUCHEPUKA!

Mambo vipi msomaji wa safu hii. Bila shaka unaendelea vizuri na harakati zako za kimapenzi na kwa mara nyingine upo tena katika safu hii ili kufuatilia nini kimejiri. Moja ya tatizo kubwa kabisa linalowasumbua wapenzi wengi ni tabia ya kutoaminiana baina yao. Kila mmoja hudhani mwenzake anakwenda kinyume na hili, mara nyingi lawama huenda zaidi kwa wanaume kwani ni wepesi kuchepuka.
Zifuatazo ni baadhi ya sababu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani