MADAI KAJALA AMPA DONGO WEMA
![](http://api.ning.com:80/files/XnAxcylq3ihomsbH7WgfkQrpBCV6ia5OBfo3ofjV-gz9eKgH*MjKaFSe*VgdgBAIe-IHANgfOZzDXErJXonBKvaYUQds8MA4/vfdef.jpg?width=650)
Brigthon Masalu KAJALA Masanja ambaye ana bifu na aliyekuwa shosti wake mkubwa, Wema Sepetu ‘Madam’ amedaiwa kumpa rafiki yake huyo wa zamani ujumbe unaoashiria upendo kwa kuvaa gauni lenye maandishi yaliyosomeka “Love will save us†yakimaanisha upendo utatuokoa. Staa wa filamu Bongo, Kajala Masanja. ‘Katukio’ hako kalinaswa na mwandishi wetu mwishoni mwa wiki iliyopita ndani ya Ukumbi wa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo Movies19 Jul
Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala
Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari ambayo ilisambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Cmufrv6JsXU/default.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yO1JdgjIDGbOpEOMxYzuvAQbkSz6dN6uWCBQ1WMoyE88Bw5z9p8qzYtJPiuqwCpNAyws5XI7gOWvaCBcgLW-UhMF*Mxsebje/kajalaz.jpg)
MADAI YA KUCHEPUKA KAJALA ACHARUKA
10 years ago
Bongo516 Dec
Mashabiki wanahisi ujumbe huu wa Diamond ni dongo kwa Wema!
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/IDSxpu6BW22XiO7sOnkN793mQLrJ4eFrsAtChFUDVfuao*hmUL-Tb1C12Rb03TNjGyXZDO9Eliix*Tq1zhleuYz8FJlj17C-/kajala.jpg)
MADAI MAZITO; KAJALA AMHARIBU MWANAYE!
10 years ago
Bongo Movies27 May
'Wema Sepetu Msamehe Kajala' Mashabiki Wamlilia Wema
Ikiwa ni masaa kadhaa yamepita toka msanii wa filamu nchini Kajala Masanja kufunguka ya moyoni juu ya Wema Sepetu na Petit Man na kueleza kuwa kamwe katika maisha yake ya hapa Duniani hawezi kusahau fadhila na moyo wa upendo ambao
ulioneshwa na watu wao kipindi ambacho alikuwa na matatizo na jinsi walivyoweza kujitolea mpaka kufikia hatua ya kuweza kumsaidia katika matatizo ambayo alikuwa anakabiliana nayo kwa kipindi kile.
Kajala alifunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instgram na...
9 years ago
Global Publishers25 Dec
Mbunge ampa Wema ujauzito
Mwigizaji Wema Sepetu ‘Madam’.
Mwandishi wetu
MJINI bwana! Habari nyingi huanzia kwenye mikeka, siku hizi wenyewe wamezimebatiza jina la ‘Ubuyu’ ambapo kwa sasa ishu kubwa inayozagaa mitaani ni mwigizaji Wema Sepetu ‘Madam’ kupachikwa mimba na mbunge maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Bunge la 11 (jina kapuni kwa sasa), vyanzo vinasema.
Pitapita ya sikio la Gazeti la Ijumaa katika Jiji la Dar es Salaam, hivi karibuni ilikutana na Ubuyu huo kuwa mwigizaji huyo amenasa ujauzito wa...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-why5eiBTy4I/VOLcxxBXOfI/AAAAAAAAAMg/Bm6xRV4Td0U/s72-c/zz.jpg)
ZARI AMPA MAKAVU SEPETUNGA WEMA
![](http://3.bp.blogspot.com/-why5eiBTy4I/VOLcxxBXOfI/AAAAAAAAAMg/Bm6xRV4Td0U/s640/zz.jpg)
Mbali na watu kadhaa ambao wamejinasibisha mitandao kuwa wao hawayapendi mahusiano ya Zari na Diamond kusambaza mtandaoni picha ya Zari ikiwa na maneno ya kejeli kuhusu mimba aliyonayo, Wema nae alishiriki kuiweka picha hiyo yenye maneno ya kejeli yanayosomeka ‘Mimba My Foot”kama yanavyosomeka kwenye...