CLAUDIO VIERA, MLEMAVU SHUPAVU ALIYETIMIZA NDOTO ZAKE
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
WENGI hufikiri kuwa kuzaliwa kawaida ni kawaida, ila kwa Claudio Viera de Oliveira ni tofauti kabisa, yeye amezaliwa kichwa kikiwa kimeangalia juu pamoja na ulemavu wa mikono na miguu,na alipozaliwa madaktari walimshauri mama yake Maria Jose Vieira amuache Claudio afe kwani angemsumbua mno katika malezi lakini mama yake alipuuzia ushauri huo.
Licha ya ulemavu huo Claudio hakukata tamaa, akiwa na miaka 40 aliweza kuandika kitabu kilichohusu maisha yake...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziMlemavu mwenye ndoto ya kusimama kwa ‘miguu yake’
**************************
NA MWANDISHI WETU
KILA binaadam katika dunia hii ana matatizo yake ya kimaisha, hali ambayo inasababisha kila mmoja kusaka namna ya kufikia malengo kupitia kwa wadau mbalimbali ambao ndio kimbilio la ufanikishwaji huo.
Kwa mazingira ya sasa, wadau wanaweza kutoa msaada kwa jamii ama mdau mmoja mmoja kwa mujibu wa hitaji la mhusika.
Boniface Mokami (25), mlemavu wa miguu ambaye ni mmoja wa mfano wa wadau wenye uhitaji wa kuwezeshwa kwa usafiri aweze kushiriki...
11 years ago
Bongo504 Jul
Ndoto 10 zinazootwa zaidi usiku na maana zake
10 years ago
Mwananchi28 Jul
UCHAMBUZI: Lowassa, mwanzo au mwisho wa ndoto zake?
10 years ago
Michuzi10 years ago
MichuziBeta Zebron awezeshwa kukamilisha ndoto zake kupitia Airtel Fursa "Tunakuwezesha"
10 years ago
GPL29 Jun
BETA ZEBRON AWEZESHWA KUKAMILISHA NDOTO ZAKE KUPITIA AIRTEL FURSA "TUNAKUWEZESHA"
9 years ago
Bongo512 Dec
Jamie Vardy na kocha wake Claudio Ranieri watwaa tuzo ya EPL
Mshambuliaji wa Leicester Jamie Vardy pamoaja na Manager wa Leicester City Claudio Ranieri wameshinda tuzo ya kocha bora na mchezaji bora wa mwezi November kwenye ligi ya England (EPL) baada ya kukiongoza kikosi chao kukaa kileleni mwa ligi hiyo.
Vardy baada ya kufunga magoli matatu katika mechi za mwezi Novemba ikiwemo kuvunja rekodi ya magoli wakati kikosi chake kilipotoka sare ya 1-1 na Manchester United.
Goli lake katika dakika ya 24 dhidi ya Mashetani Wekundu lilimfanya avunje rekodi...
9 years ago
GPLNEC; ALIYETIMIZA MASHARTI ASIZUIWE KUPIGA KURA
9 years ago
Bongo505 Oct
Tazama alichokiandika Lady Jaydee kwa mama yake aliyetimiza miaka 70