Ndoto 10 zinazootwa zaidi usiku na maana zake
Ndoto ni jambo au hisia ya kawaida inayompata mtu alalapo usiku. Kwa mujibu wa gazeti la The Mirror la Uingereza, hizi ni ndoto 10 zinazootwa zaidi na maana yake. 1. Kuota umeshikwa/umepotea: Ndoto hii hutokea pale unapokumbuna na ugumu katika kuchukua uamuzi kutokana na jambo lililo mbele yako. 2.Kuota mwili umekosa nguvu/kama umepooza: Katika ndoto […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi28 Jul
UCHAMBUZI: Lowassa, mwanzo au mwisho wa ndoto zake?
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-HJGcOwaHYSc/XswRF87VdoI/AAAAAAALrfU/e54MWPIS90AX6KJT9z-o-q765zMf_GrIwCLcBGAsYHQ/s72-c/20200524085347_1153918174_5704606628706549347_375_282_80_webp.jpg)
CLAUDIO VIERA, MLEMAVU SHUPAVU ALIYETIMIZA NDOTO ZAKE
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
WENGI hufikiri kuwa kuzaliwa kawaida ni kawaida, ila kwa Claudio Viera de Oliveira ni tofauti kabisa, yeye amezaliwa kichwa kikiwa kimeangalia juu pamoja na ulemavu wa mikono na miguu,na alipozaliwa madaktari walimshauri mama yake Maria Jose Vieira amuache Claudio afe kwani angemsumbua mno katika malezi lakini mama yake alipuuzia ushauri huo.
Licha ya ulemavu huo Claudio hakukata tamaa, akiwa na miaka 40 aliweza kuandika kitabu kilichohusu maisha yake...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/jgHt534u7Ow/default.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/jgHt534u7Ow/default.jpg)
Beta Zebron awezeshwa kukamilisha ndoto zake kupitia Airtel Fursa "Tunakuwezesha"
10 years ago
GPL29 Jun
BETA ZEBRON AWEZESHWA KUKAMILISHA NDOTO ZAKE KUPITIA AIRTEL FURSA "TUNAKUWEZESHA"
9 years ago
StarTV09 Sep
Mlinzi wa kiwanja kwa zaidi ya miaka 20 adai haki zake
Serikali na taasisi za haki za binadamu zimeombwa kumsaidia mwananchi Issa Hassan Kilopola kupata haki yake ya kulipwa malimbikizo ya mshahara wa miaka 25 ya ulinzi wa Kiwanja nambari 24, Mtaa wa Mtambani B, Kata ya Jangwani jijini Dar es Salaam.
Mlinzi huyo anadai malimbikizo ya mshahara huo tangu mwaka 1990 kutoka kwa mmiliki wa awali wa kiwanja hicho Abbullih Majid anayedaiwa kufariki dunia.
Kiwanja hicho kwa sasa kinadaiwa kuuzwa kwa Mbunge aliyemaliza muda wake Suleiman...
10 years ago
Vijimambo26 Jan
SNOW KUBWA INAKUJA PWANI YA MASHARIKI YA MAREKANI, ZAIDI YA NDEGE 2,000 ZASITISHA SAFARI ZAKE
![Evelina Federyuk Evelina Federyuk (R) shovels snow out of her driveway as her 4 -year-old twin siblings Roman (L) and Lia play during a major snow storm January 12, 2011 in Greenfield, Massachusetts. A winter storm is dumping over a foot of snow across New England closing most state and local facilities.](http://www2.pictures.zimbio.com/gi/Evelina+Federyuk+East+Coast+Snow+Storm+Brings+XQ-Fvt_2Gq5l.jpg)
Miji itakayoathirika ni New York City, Boston, Providence, Hartford na Portland kikubwa kilichoelezewa hapa ni upepo mkali utakaoambatana na tufani hii ya theluji watu zaidi ya milioni 28 wataathirika na tufani...