Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CNN YATOA SEMINA KWA WANAHABARI

 Richard Mwigamba ambaye ni Mhariri wa Gazeti la The Citzen akifungua semina hiyo.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WIZARA YA AFYA YATOA SEMINA KWA WANAHABARI DAR

Mtaalamu wa ufuatiliaji na udhibiti wa magonjwa ,Dk. Vida Makundi Mmbaga, akijibu maswali ya wanahabari.
Waandishi wakifuatilia kwa umakini.…

 

11 years ago

GPL

GEPF YATOA SEMINA KWA WANAHABARI JIJINI DAR

Meneja Masoko wa GEPF, Aloyce Ntukamazina akita mada katika semina ya wanahabari. Sehemu ya wanahabari kutoka vyombo mbalimbali vya habari jijini Dar wakimsikiliza Aloyce.…

 

10 years ago

GPL

DHEHEBU LA SHIA LATOA SEMINA KWA WANAHABARI

Imam wa msikiti wa Ghadir uliopo Kigogo Post, Hemed Jalala akiongea na wanahabari (hawapo pichani). VIONGOZI wa dhehebu la Shia wa Msikiti wa Ghadir uliopo Kigogo Post jijini Dar, leo wametoa semina kwa wanahabari kuhusu umuhimu na wajibu wao katika kuielimisha jamii. Akizungumza na wanahabari pamoja na baadhi ya wadau waliohudhuria katika semina hiyo, Imam wa msikiti huo, Hemed Jalala, amewataka wanahabari nchini kutotumika...

 

9 years ago

Michuzi

SEMINA YA TAMWA KWA WANAHABARI KANDA YA ZIWA YABAINI WAGOMBEA WANAWAKE KUSAHAULIKA.

Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali vya Habari katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa wakiwa Jijini Mwanza katika Semina ya siku tatu iliyoanza jana Octoba 19 na inatarajia kufika tamati kesho octoba 22 ikiangazia juu ya VYOMBO VYA HABARI NA UCHAGUZI iliyoandaliwa na Chama cha cha Wanahabari Wanawake nchini Tanzania (TAMWA-Tanzania Media Women Association).


Katika Semina hiyo, imebainika kuwa katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu, Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari hawajaweka kipaumbele katika...

 

10 years ago

Michuzi

TMF yatoa mafunzo kwa wanahabari wa Sauti ya mnyonge

Mratibu wa mradi wa ruzuku kwa waandishi wa habari wa mfuko wa waandishi wa habari nchini (TMF) Danstan Kamanzi akizungumza jana mjini Dodoma na kikundi cha waandishi wa habari wanaoandika habari za wasiosikika (Sauti ya mnyonge) kwenye mafunzo ya siku tano ya kuandika habari za mitandao ya jamii yanayofanyika Dodoma hotel. Miongoni mwa waandishi wa habari 17 wa kikundi cha waandishi wa habari wanaoandika habari za wasiosikika (Sauti ya mnyonge) wakiwa mjini Dodoma kwenye mafunzo ya siku...

 

10 years ago

Vijimambo

TMF, UN Yatoa Vyeti kwa Wanahabari Waandishi wa Dawa za Kulevya

Mgeni rasmi wa hafla hiyo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju (kulia) akimkabidhi cheti mmoja wa wahitimu katika hafla ya wanahabari na wahariri waliohitimu mafunzo ya ubobezi katika kuandika habari za dawa za kulevya na uandishi wa habari za maendeleo ya malengo ya milenia wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa vyeti. Mgeni rasmi wa hafla hiyo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju (kulia) akimkabidhi cheti mmoja wa wahitimu katika hafla ya wanahabari na wahariri waliohitimu mafunzo ya ubobezi katika kuandika habari za dawa za kulevya na uandishi wa habari za maendeleo ya malengo ya milenia wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa vyetiMwakilishi wa Mmoja wa Mataifa na Mkuu wa Shirika la Watoto la Umoja wa Mataifa Tanzania, Dk. Jama Gulaid (kulia) akimpongeza mmoja wa wanahabari kabla ya kupokea cheti chake katika hafla ya wanahabari na wahariri waliohitimu mafunzo ya ubobezi katika kuandika habari za dawa za kulevya na uandishi wa habari za maendeleo ya malengo ya milenia wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa vyeti. Mwakilishi wa Mmoja wa Mataifa na Mkuu wa Shirika la Watoto la Umoja wa Mataifa Tanzania, Dk. Jama Gulaid (kulia) akimpongeza mmoja wa wanahabari kabla ya kupokea cheti...

 

11 years ago

Michuzi

TPDC YAENDESHA SEMINA KWA WANAHABARI KUHUSU UCHIMBAJI WA GESI NA MAFUTA KATIKA HOTELI YA OCEANIC BAY $ RESORT, BAGAMOYO LEO

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Mafuta na Petroli Tanzania (TPDC), James Andilile (kulia), akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali kuhusu uchimbaji wa gesi na mafuta. Kutoka kushoto ni Rais wa Umoja wa Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam, Jane Mihanje na Mkurugenzi mstaafu wa TPDC, Yona Killagane.Kaimu Mkurugenzi wa Mipango na Mikakati wa TPDC, Dk.Wellington Hudson, akitoa mada katika semina hiyo.Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Mafuta na Petroli...

 

10 years ago

Vijimambo

TMF, UN YATOA VYETI KWA WANAHABARI WAANDISHI WA HABARI ZA DAWA ZA KULEVYA

Mgeni rasmi wa hafla hiyo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju (kulia) akimkabidhi cheti mmoja wa wahitimu katika hafla ya wanahabari na wahariri waliohitimu mafunzo ya ubobezi katika kuandika habari za dawa za kulevya na uandishi wa habari za maendeleo ya malengo ya milenia wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa vyeti. Mgeni rasmi wa hafla hiyo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju (kulia) akimkabidhi cheti mmoja wa wahitimu katika hafla ya wanahabari na wahariri waliohitimu mafunzo ya ubobezi katika kuandika habari za dawa za kulevya na uandishi wa habari za maendeleo ya malengo ya milenia wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa vyeti.Mwakilishi wa Mmoja wa Mataifa na Mkuu wa Shirika la Watoto la Umoja wa Mataifa Tanzania, Dk. Jama Gulaid (kulia) akimpongeza mmoja wa wanahabari kabla ya kupokea cheti chake katika hafla ya wanahabari na wahariri waliohitimu mafunzo ya ubobezi katika kuandika habari za dawa za kulevya na uandishi wa habari za maendeleo ya malengo ya milenia wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa vyeti. Mwakilishi wa Mmoja wa Mataifa na Mkuu wa Shirika la Watoto la Umoja wa Mataifa Tanzania, Dk. Jama Gulaid (kulia) akimpongeza mmoja wa wanahabari kabla ya kupokea cheti...

 

11 years ago

Michuzi

PSPF YATOA ELIMU YA MFUKO WAKE KWA WANAHABARI JIJINI DAR


Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa PSPF, Adam Mayingu akizungumza na Waandishi wa habari pamoja na wadau wa mfuko huo katika semina ya siku moja kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na mfuko huo na fursa mbalimbali pamoja na mafao yanayotolewa na mfuko. 
Miongoni mwa huduma wanazotoa na ikiwa ni huduma ya fao jipya ni Mpango wa Uchangiaji kwa Hiyari  (PSS) ambapo mwanachama anatakiwa kujiunga kwa kiwango cha chini cha shilingi 10,000/= na kuchangia kadri awezavyo kila siku, wiki, Mwezi na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani