Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SEMINA YA TAMWA KWA WANAHABARI KANDA YA ZIWA YABAINI WAGOMBEA WANAWAKE KUSAHAULIKA.

Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali vya Habari katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa wakiwa Jijini Mwanza katika Semina ya siku tatu iliyoanza jana Octoba 19 na inatarajia kufika tamati kesho octoba 22 ikiangazia juu ya VYOMBO VYA HABARI NA UCHAGUZI iliyoandaliwa na Chama cha cha Wanahabari Wanawake nchini Tanzania (TAMWA-Tanzania Media Women Association).


Katika Semina hiyo, imebainika kuwa katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu, Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari hawajaweka kipaumbele katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

TAMWA yawabadilisha fikra wanahabari Kanda ya Ziwa

Mshindi wa Tuzo ya Mama Shujaa mwaka 2011 inayotolewa na Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kwa Mwanamke anaepambana na Ukatili wa Kijinsia Bi.Joyce Maimuna Amina Kanyamala ambae pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Mikonoyetu la Jijini Mwanza akiwasilisha Mada katika Semina kwa Wanahabari kutoka Mikoa ya Kanda ya Ziwa juu Vyombo vya Habari na Uchaguzi iliyoandaliwa na Chama cha cha Wanahabari Wanawake nchini Tanzania
(TAMWA-Tanzania Media Women Association).  Semina hiyo ilianza juzi...

 

9 years ago

Michuzi

TAMWA YAWABADILISHA FIKRA WANAHABARI KANDA YA ZIWA.

Mshindi wa Tuzo ya Mama Shujaa mwaka 2011 inayotolewa na Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kwa Mwanamke anaepambana na Ukatili wa Kijinsia Bi.Joyce Maimuna Amina Kanyamala ambae pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Mikonoyetu la Jijini Mwanza akiwasilisha Mada katika Semina kwa Wanahabari kutoka Mikoa ya Kanda ya Ziwa juu Vyombo vya Habari na Uchaguzi iliyoandaliwa na Chama cha cha Wanahabari Wanawake nchini Tanzania (TAMWA-Tanzania Media Women Association). Semina hiyo ilianza juzi...

 

9 years ago

Michuzi

KUELEKEA UCHAGUZI MKUU, TAMWA YAWAPIGA MSASA WAANDISHI WA HABARI KANDA YA ZIWA

Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali vya Habari katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa wakiwa Jijini Mwanza katika Semina ya siku tatu (Octoba 19 hadi 22) juu ya VYOMBO VYA HABARI NA UCHAGUZI iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania TAMWA.
Wanahabari watapata fursa ya Kujadili yale yanayoendelea katika kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Octoba 25 mwaka huu na nanma Vyombo vya Habari/ Waandishi wa Habari wanavyoripoti habari za Uchaguzi Mkuu kwa kuzingatia...

 

10 years ago

Michuzi

SEMINA YA BENKI YA CRDB YA VIONGOZI NA WATUMISHI WA HALMASHAURI ZA KANDA YA ZIWA

Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti Huduma kwa Wateja Tully Mwambapa akizungumza kwenye semina iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kuhusu huduma za fedha zinazotolewa na benki hiyo kwa serikali. Semina hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki katika hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza na kuhudhuriwa na viongozi na watumishi wa Halmashauri za Mikoa ya Kanda ya Ziwa. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza katika semina hiyo.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

GPL

CNN YATOA SEMINA KWA WANAHABARI

 Richard Mwigamba ambaye ni Mhariri wa Gazeti la The Citzen akifungua semina hiyo.…

 

10 years ago

GPL

DHEHEBU LA SHIA LATOA SEMINA KWA WANAHABARI

Imam wa msikiti wa Ghadir uliopo Kigogo Post, Hemed Jalala akiongea na wanahabari (hawapo pichani). VIONGOZI wa dhehebu la Shia wa Msikiti wa Ghadir uliopo Kigogo Post jijini Dar, leo wametoa semina kwa wanahabari kuhusu umuhimu na wajibu wao katika kuielimisha jamii. Akizungumza na wanahabari pamoja na baadhi ya wadau waliohudhuria katika semina hiyo, Imam wa msikiti huo, Hemed Jalala, amewataka wanahabari nchini kutotumika...

 

11 years ago

GPL

ENDELEENI KUFICHUA UNYANYASAJI KWA WANAWAKE, WATOTO – TAMWA

Mkurugenzi Mtendaji wa Tamwa, Dk. Valery Msoka. Na Walusanga Ndaki
VYOMBO vya habari vimetakiwa kuandika zaidi habari zinazohusu unyanyasaji wa kijinsia hususan dhidi ya wanawake na watoto ili kuiamsha zaidi jamii inayowafanyiwa vitendo hivyo na mamlaka husika ziweze kuchukua hatua za kisheria dhidi ya vitendo hivyo. Msisitizo huo ulitolewa mwishoni mwa wiki na chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (Tamwa) kwa...

 

10 years ago

Michuzi

TAMWA YATOA MAFUNZO KWA WANAHABARI WA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI JUU YA KUPAMBANA NA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

 MWANAHABARI MKONGWE WENCE  MUSHI AKITOA ELIMU KWA WANAHABARI WALIOKUTANA MKOANI IRINGA WANAHABARI WAKIWA MAKINI KUMSIKILIZA MTOA ELIMUWANAHABARI WAKIFUATILIA NINI KINACHOENDELEA KWENYE MAFUNZO HAYO
 Na Fredy Mgunda, Iringa

Waandishi wa habari wametakiwa kuandika zaidi habari zinazohusu unyanyasaji wa kijinsia hususan dhidi ya wanawake na watoto ili kuiamsha zaidi jamii inayowafanyiwa vitendo hivyo na mamlaka husika ziweze kuchukua hatua za kisheria dhidi ya vitendo hivyo.Msisitizo huo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani