Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAMWA yawabadilisha fikra wanahabari Kanda ya Ziwa

Mshindi wa Tuzo ya Mama Shujaa mwaka 2011 inayotolewa na Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kwa Mwanamke anaepambana na Ukatili wa Kijinsia Bi.Joyce Maimuna Amina Kanyamala ambae pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Mikonoyetu la Jijini Mwanza akiwasilisha Mada katika Semina kwa Wanahabari kutoka Mikoa ya Kanda ya Ziwa juu Vyombo vya Habari na Uchaguzi iliyoandaliwa na Chama cha cha Wanahabari Wanawake nchini Tanzania
(TAMWA-Tanzania Media Women Association).  Semina hiyo ilianza juzi...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TAMWA YAWABADILISHA FIKRA WANAHABARI KANDA YA ZIWA.

Mshindi wa Tuzo ya Mama Shujaa mwaka 2011 inayotolewa na Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kwa Mwanamke anaepambana na Ukatili wa Kijinsia Bi.Joyce Maimuna Amina Kanyamala ambae pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Mikonoyetu la Jijini Mwanza akiwasilisha Mada katika Semina kwa Wanahabari kutoka Mikoa ya Kanda ya Ziwa juu Vyombo vya Habari na Uchaguzi iliyoandaliwa na Chama cha cha Wanahabari Wanawake nchini Tanzania (TAMWA-Tanzania Media Women Association). Semina hiyo ilianza juzi...

 

9 years ago

Michuzi

SEMINA YA TAMWA KWA WANAHABARI KANDA YA ZIWA YABAINI WAGOMBEA WANAWAKE KUSAHAULIKA.

Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali vya Habari katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa wakiwa Jijini Mwanza katika Semina ya siku tatu iliyoanza jana Octoba 19 na inatarajia kufika tamati kesho octoba 22 ikiangazia juu ya VYOMBO VYA HABARI NA UCHAGUZI iliyoandaliwa na Chama cha cha Wanahabari Wanawake nchini Tanzania (TAMWA-Tanzania Media Women Association).


Katika Semina hiyo, imebainika kuwa katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu, Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari hawajaweka kipaumbele katika...

 

9 years ago

Michuzi

KUELEKEA UCHAGUZI MKUU, TAMWA YAWAPIGA MSASA WAANDISHI WA HABARI KANDA YA ZIWA

Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali vya Habari katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa wakiwa Jijini Mwanza katika Semina ya siku tatu (Octoba 19 hadi 22) juu ya VYOMBO VYA HABARI NA UCHAGUZI iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania TAMWA.
Wanahabari watapata fursa ya Kujadili yale yanayoendelea katika kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Octoba 25 mwaka huu na nanma Vyombo vya Habari/ Waandishi wa Habari wanavyoripoti habari za Uchaguzi Mkuu kwa kuzingatia...

 

11 years ago

GPL

TAMWA YAWAPONGEZA WANAHABARI UANDISHI HABARI ZA UKATILI WA KIJINSIA‏

Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake (TAMWA), Valerie Nsoka akizungumza na wahariri na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Makao Makuu ya Ofisi hizo, Sinza Jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake (TAMWA), Valerie Nsoka akizungumza na wahariri na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam.… ...

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI GUMZO KANDA YA ZIWA!

Dk. John Pombe Magufuli ambaye ni mgombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Richard Bukos, aliyekuwa Geita Dk. John Pombe Magufuli ambaye ni mgombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amekuwa gumzo kubwa katika maeneo mbalimbali ya mikoa ya Kanda ya Ziwa. Dk. Magufuli ambaye amekuwa ‘homa kali’ kwa vyama vya upinzani,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mashabiki kanda ya Ziwa wastaarabu.

Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania limesema linawashukuru mashabiki wa kanda ya ziwa kwa ustaarabu wa hali ya juu.

 

10 years ago

Vijimambo

"IMETOSHA" YAJITAMBULISHA KANDA YA ZIWA

Ilikua mishale ya saa kumi kamili jioni ujumbe wa harakati za Imetosha ulipowasili katika kituo cha Buhangija cha kulea watoto wenye mahitaji maalumu mjini Shinyanga. Sauti za furaha za watoto zilisikika zikiimba nyimbo za kukaribisha ujumbe wa wana harakati hao ambao wako Mwanza kutambulisha harakati za Imetosha ambazo ni kupambana na kupinga unyanyapaa, ukatili na mauaji kwa watu wenye Ulemavu wa ngozi.Balozi wa Imetosha Henry Mdimu akinunua mahitaji ya watoto waliopo kituoni hapo kabla ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani