DHEHEBU LA SHIA LATOA SEMINA KWA WANAHABARI
Imam wa msikiti wa Ghadir uliopo Kigogo Post, Hemed Jalala akiongea na wanahabari (hawapo pichani). VIONGOZI wa dhehebu la Shia wa Msikiti wa Ghadir uliopo Kigogo Post jijini Dar, leo wametoa semina kwa wanahabari kuhusu umuhimu na wajibu wao katika kuielimisha jamii. Akizungumza na wanahabari pamoja na baadhi ya wadau waliohudhuria katika semina hiyo, Imam wa msikiti huo, Hemed Jalala, amewataka wanahabari nchini kutotumika...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili16 Feb
Kiongozi wa dhehebu la Shia ajiuzulu
11 years ago
GPL
CNN YATOA SEMINA KWA WANAHABARI
11 years ago
GPLWIZARA YA AFYA YATOA SEMINA KWA WANAHABARI DAR
11 years ago
GPLGEPF YATOA SEMINA KWA WANAHABARI JIJINI DAR
10 years ago
MichuziSEMINA YA TAMWA KWA WANAHABARI KANDA YA ZIWA YABAINI WAGOMBEA WANAWAKE KUSAHAULIKA.
Katika Semina hiyo, imebainika kuwa katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu, Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari hawajaweka kipaumbele katika...
11 years ago
MichuziTPDC YAENDESHA SEMINA KWA WANAHABARI KUHUSU UCHIMBAJI WA GESI NA MAFUTA KATIKA HOTELI YA OCEANIC BAY $ RESORT, BAGAMOYO LEO
10 years ago
Dewji Blog27 Jun
Wanahabari wapewa semina kuhusu magonjwa yasiyoambukiza
Kaimu Mkurugenzi Magonjwa Yasiyoambukiza wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Auson Rwehimbiza (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kwenye semina ya siku moja kuhusu magonjwa yasiyoambukiza. Kulia ni Meneja Mradi Shirikisho la Vyama vya Magonjwa Yasiyo ya Kuambukiza (TANCDA).
Kaimu Mkurugenzi Magonjwa yasiyoambukiza wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Auson Rwehimbiza (kulia), akimuelekeza jambo Ofisa Habari wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,...
10 years ago
GPLWANAHABARI WAPEWA SEMINA KUHUSU MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA
10 years ago
GPLWANAHABARI WAPEWA SEMINA KUHUSU WIKI YA USALAMA BARABARANI YA UMOJA WA MATAIFA JIJINI DAR LEO