COASTAL waitangazia vita Mbeya City
![](http://1.bp.blogspot.com/--u0D0iKxnjs/VN4PM4Ku94I/AAAAAAAHDjo/lLNXEyHxdi0/s72-c/COASTALUNION.jpg)
TIMU ya Coastal Union ya Tanga imesema kuwa itapambana vilivyo ili kuweza kuhakikisha inachukua pointi tatu muhimu dhidi ya Mbeya City kwenye mechi ya Ligi kuu soka Tanzania Bara itakayochezwa wikiendi hii kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani,jijini Tanga.
Coastal Union itangia kwenye mechi hiyo ikiwa na kumbukumbu ya kupoteza mechi yao ya mzunguko wa kwanza iliyochezwa kwenye uwanja wa sokoine jijini Mbeya ambapo Mbeya City iliweza kuibuka na ushindi wa bao 1-0 ambalo lilipatikana kwa njia ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi28 Jan
Simba SC, Mbeya City vita mpya Uwanja wa Taifa leo
10 years ago
TheCitizen06 Dec
Coastal’s defender Nyoso joins City
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zbcSW1D04avzhEoUjpCw-HS579DXn1G8f34OWQZ74OVPNhY*EifLAfoL5DqwYEnVSA3Kto*WjiCcOvCEJG6*nyttvLmrZNgY/AZAMFC2.jpg?width=650)
AZAM FC WAKIPASHA MISULI KABLA YA KUWAKABILI MBEYA CITY JIJINI MBEYA
11 years ago
Michuzi11 Feb
MBEYA CITY NA MTIBWA ZAINGIZA MILIONI 25.6 uwanja wa sokoine, mbeya
9 years ago
MichuziMBEYA CITY YABUGIZA JKT RUVU GOLI 3-0 MJINI MBEYA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/GrESGA1Ckwh9FsBqvLGfGjQr90V5WmqBhXAwZVAC9zmNE2EAzcv0yOWLMXpKiw7oOKjRjBh*eMF3banQPSa*ypG7*3*P3Jo6/1.jpg?width=650)
WAKAZI WA MBEYA WACHANGAMKIA JEZI ZA MBEYA CITY