Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Collabo 5 mashabiki wa muziki Bongo wanatamani kuzisikia

Miaka kadhaa nyuma kila mtu alikuwa na hamu ya kusikia collabo za mahasimu wawili kwenye Bongo Flava kwa wakati ule. Walikuwa ni washkaji wazuri kutoka Temeke ila baadaye wakaja kuwa maadui wazuri mno. Mzee wa Busara remix ya Juma Nature aliyempa collabo adui yake Inspector Haroun, ilikuja kubadili vitu vingi mno kwenye Bongo Flava. Ilikuwa […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Trey Songz athibitisha mbele ya mashabiki wa Nigeria juu ya collabo aliyofanya na Davido

trey n dav

Kwenye orodha ya nyimbo za album mpya ya Davido “B.A.D.D.E.S.T” ambayo ilikuwa itoke mwishoni mwa mwaka huu kabla ya kusogezwa hadi mwakani 2016, kuna wimbo ambao staa huyo wa Nigeria amemshirikisha muimbaji wa R&B kutoka Marekani, Trey Songz.

trey n dav

Licha ya kuwa aliwahi kuthibitisha kupitia Twitter, Trey Songz ambaye Ijumaa iliyopita (Dec.18) alitumbuiza Lagos, Nigeria kwenye tamasha kubwa la kila mwaka Rhythm Unplugged, mitandao ya Nigeria imeripoti kuwa Trey alithibitisha kwa mara nyingine...

 

9 years ago

Bongo5

Nawaomba radhi mashabiki wangu sitaweza kutoa collabo yangu na Jose Chameleone Ijumaa hii — Barnaba

Barnaba Classic ni msanii mwingine aliyekuwa ameahidi kuachia wimbo mpya wiki hii, ‘Nakutunza’ ambao ni collabo yake na Jose Chameleone wa Uganda. Baada ya kupata nafasi ya kurekodi na Chameleone aliyekuja nchini hivi karibuni, Barnaba hakutaka kupoteza muda, alitangaza kuwa tarehe 30 Oct ndio angeiachia single hiyo. Akizungumza na Bongo5 leo, Barnaba amewaomba radhi mashabiki […]

 

5 years ago

Bongo Movies

Alichosema Jay Moe kuhusu kutofanya collabo na wakongwe wa Bongo fleva

 

Mashabiki wengi hujiuliza inakuaje kwenye upande wa Bongo Fleva mastaa wakongwe katika game hii wanashindwa kufanya collaboration wao kwa wao , ugumu unakuwa wapi?? Je ni kwamba ladha ya muziki itapungua kutokana na wao kuwa wakongwe katika muziki?

Majibu yote anayo Jay Moe, alisema

“Naona watu wanacho jaribu kukitafuta saivi ni kitu kipya , Solo nipo naye karibu lakini badala solo ashiriki nyimbo na mimi nitamshauri afanye  na Godzilla, afanye na billnass. Kwa sababu naona kabisa kwamba...

 

10 years ago

GPL

ALI KIBA MASHABIKI WATARAJIE MAPINDUZI YA MUZIKI

Omary Mdose Dar es Salaam
STAA wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Ally Saleh ‘Ali Kiba’, amefunguka mengi kuelekea katika shoo anayotarajiwa kufanya Aprili 5, mwaka huu ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem, Dar. Staa wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Ally Saleh ‘Ali Kiba’. Hii itakuwa ni mara nyingine kwa msanii huyo kupanda jukwaani hapo baada ya kufanya hivyo miaka miwili...

 

10 years ago

GPL

EFM 93.7 KUFANYA TAMASHA LA MUZIKI MNENE KUWASHUKURU MASHABIKI

Mtangazaji wa EFM, Denis Sebo akifafanua jambo kwa wanahabari (hawapo pichani). Msaidizi ofisa mahusiano, Lydia moyo (kushoto) katikati ni Meneja mahusiano wa EFM, Kanky Mwaigomole  na Mhariri mkuu, Samira Kianga.…

 

10 years ago

GPL

MASHABIKI WA TAARAB WAJINOMA KWA MUZIKI WA JAHAZI DAR LIVE

Mzee Yusuf akiimba. Mashabiki wakiwa wakiserebuka na picha ya Mzee Yusuf. Leila Rashid akipagawisha mashabiki.…

 

9 years ago

Bongo5

Christian Bella kuachia collabo yake na Koffi Olomide kabla Koffi hajatua Bongo

Bella na Koffi

Mwanamuziki mkongwe wa DRC, Koffi Olomide anatarajiwa kuja Tanzania kutumbuiza wiki Ijayo, na hiyo ndio sababu iliyomfanya Christian Bella kupanga kuachia collabo aliyofanya na mkali huyo mapema kabla hajatua Bongo.

Bella na Koffi

Bella ameiambia Bongo5 kuwa wimbo tayari umekamilika na amepanga kuuachia mapema kabla Koffi hajaja ili aweze kutumbuiza naye wimbo huo ambao ni collabo inayosubiriwa kwa hamu na mashabiki wake.

“Ninajipanga wiki hii au next week ndio nitaachia, kwasababu Koffi anakuja Tanzania...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Minenguo Extra Bongo yapagawisha mashabiki

MASHABIKI wa bendi ya muziki wa dansi ya Extra Bongo Next Level ‘Wazee wa Kizigo’, juzi usiku walibaki midomo wazi baada ya wanenguaji wake wa kiume kucheza staili ya kipekee....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani