Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CORONA: WATU WENGI WAKO MAJUMBANINA KUFANYA MTIKISIKO WA ARDHINI KUPUNGUA

Empty streets in ParisHaki miliki ya pichaGETTYImage captionMiji kote duniani haina watu kwasababu ya amri ya kusalia ndani kukabiliana na virusi vya coronaMabilioni ya watu kote duniani kwasasa wanasalia nyumbani kwasababu ya virusi vya Corona - jambo ambalo linabadilisha mwenendo wa dunia.Kwasababu ya amri ya kutotoka nje wanaokwenda kazini ama kutumia usafiri wa reli au wa barabara ni kidogo mno huku kampuni nyingi zikiwa zimefungwa.Ukweli ni kwamba, idadi kubwa ya watu wanafanyakazi kidogo tu kuliko vile...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Watu wengi wako majumbani na kufanya mtikiso wa ardhini kupungua

Masharti yaliyowekwa kukabiliana na Covid-19 kuna maanisha wengi wahawatumii usafiri wa gari, treni, au kufayakazi viwandani na kubadilisha mwenendo wa dunia.

 

5 years ago

BBCSwahili

Je janga la corona litasababisha watoto wengi zaidi kufanya kazi?

Shirika la Wafanyakazi duniani laonya kuhusu kudorora kwa kiuchumi kwa sababu ya Covid-19 huenda kukasababisha watoto wengi zaidi kuanza kufanya kazi hasa zile hatari au kwenye mazingira magumu

 

5 years ago

Michuzi

Afisa wa UN: Tathmini za awali zinaonyesha tutapoteza watu wengi kwa mripuko wa corona

Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Kiuchumi na Kijamii ya Umoja wa Mataifa kwa ajili ya Magharibi ya Asia (ESCWA) amesema, matokeo hasi ya mripuko wa kirusi cha corona ni ya kutisha.

Kwa mujibu wa gazeti la Al-Yaumu-Sabi'i, Dakta Rola Dashti amesema: "Tathmini za awali kuhusu matokeo hasi ya mripuko wa kirusi cha corona zinatisha mno, kwa sababu tutapoteza watu wengi, hali ambayo haiwezi kufidika."

Katibu Mtendaji wa ESCWA ameongeza kuwa, ajira nyingi zitapotea kutokana na mripuko wa corona,...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Watoto wengi walioapata corona hawakuonesha dalili

Utafiti uliofanywa Ulaya umebainisha ni nadra sana kutokea kwa vifo miongoni mwa watoto walioambukizwa virusi vya corona.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wakimbizi wengi Afrika wako Ethiopia

Ethiopia ndilo taifa linalowahifadhi wakimbizi wengi zaidi barani Afrika.

 

5 years ago

Michuzi

WANAOUGUA CORONA NI WENGI ZAIDI KULIKO WENYE VIRUSI VYA CORONA ...MUNGU TUPONYE NA JANGA HILI


Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamii

TUKUBALIANE nitakachoelezea hapa hakuna uhusiano na ukweli wa moja kwa moja ila ni mtazamo wangu wa kijinga uliojaa na upumbavu ndani yake.

Nataka kuzungumzia ugonjwa hatari wa COVID-19 ( Corona) ambao umeifanya dunia kuhaha kutafuta kinga yake kwa ajili ya kuokoa maisha ya wanadamu. Corona haina adabu kabisa inakatisha maisha ya watu bila huruma. Ukweli dunia imekosa furaha kabisa kutokana na virusi vya Corona ambavyo havina tiba wala chanjo.

Nenda...

 

5 years ago

CCM Blog

IDADI YA WAGONJWA WA CORONA YAZIDI KUPUNGUA NCHINI, YASISITIZWA TAHADHARI IENDELEE KUCHUKULIWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia baada ya Swala ya Eid el Fitr, katika Msikiti wa Gaddaff, Jijini Dodoma, leo Mei 24, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

DODOMA, Tanzania
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema idadi ya wagonjwa wa Corona imeendelea kupungua huku baadhi ya vituo vikiwa havina wagonjwa na kwamba kwa mujibu wa takwimu za leo asubuhi Dar es Salaam kuna wagonjwa 11, Kibaha 16 na Dodoma kituo cha Mkonze wagonjwa ni watatu.
Akizungumza mara baada ya sala ya Idd El Fitr katika...

 

11 years ago

GPL

MWENYEKITI WA CHADEMA WANGAMA AJISALIMISHA CCM, ASEMA WENGI WAKO NYUMA YAKE‏

Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi katika jimbo la Kalenga mkoani Iringa Bw. Godfrey Mgimwa akimpongeza Bw. Mwenyekiti wa CHADEMA katika kijiji cha Wangama Bw, John Mgata mara baada ya kurejea CCM katika mkutano huo uliofanyika kijijini hapo leo.  …

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani