Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Coronavirus: India imeweka zuio la watu kutotoka katika nyumba zao kabisa

Hofu kubwa yatanda baada ya taifa la India kutangaza nchi kufungwa kutokana na janga la maambukizi ya virusi vya corona.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Je, virusi vya corona vimewatengenisha watu na imani zao?

Taratibu za ibada kwenye makanisa, misikiti na mahekalu pia zimebadilishwa katika jitihada za kukabiliana na kusambaa kwa virusi vya corona.

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu 10 wauawa katika mkanyagano India

Takriban watu 10 wameuawa na wengine 20 kujeruhiwa katika mkanyagano uliofanyika katika hekalu moja katika jimbo la mashariki la Jharkhand nchini India .

 

5 years ago

Michuzi

MPANGAJI ANAYELIPA KODI YA ZUIO ANAPASWA KUREJESHEWA NA MWENYE NYUMBA

Na. Peter Haule na Josephine Majura, WFM, Dodoma

Serikali imesema kuwa Sheria ya Kodi ya Mapato inaruhusu mpangaji wa nyumba ya biashara kusajiliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania na kuwa Wakala wa ukusanyaji wa Kodi ya Zuio (Withholding Tax) hivyo kuwa sehemu ya mlipaji wa kodi ya pango.

Hayo yameelezwa bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango, alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Pauline Gekul, aliyetaka kujua lini Serikali itabadili...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Vyoo vilivyofurika, shuka chafu Ndio hali katika katrantini India

India ipo katika kupindi cha karantini kwa muda wa siku 21 kufuatia kasi ongezeko la visa vya coronavirus katika siku za hivi karibuni, lakini wataalamu wanasema hali si hali

 

11 years ago

Michuzi

KATAA UMEME FAMILY YAWAKEMEA WATU WANAOTUMIA PICHA ZAO KWENYE BIASHARA ZAO ZA MADAWA YA KUPUNGUZA UZITO

Kiongozi wa Kikundi cha Kataa Unene Family (KUF) ambaye pia ni mwandishi na mtangazaji wa Televison ya Taifa (TBC1), Angella Msangi amekemea tabia ya baadhi ya wafanyabiashara wanaotumia picha zao ili waweze kuuza biashara zao za madawa ya kupunguza uzito. Akizungumza  kwa masikitiko makubwa, Kiongozi huyo alisema kuwa kuna wafanyabiasha ambao si waaminifu wamekuwa wakichukua picha zao katika mitandao ya jamii na sehemu nyingine na kutangazia biashara zao kuwa hao wametumia dawa zao na...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Watu watarejea lini katika hali ya kawaida?

Changamoto kubwa ambayo dunia inakabiliana nayo katika kukabiliana na mlipuko wa corona.

 

10 years ago

Vijimambo

Wazazi wa Mke Wangu Wamehamia Kwangu Kabisa, Nyumba imegeuka Bujumbura


Baba na mama wa mke wangu walikuja mwaka 2011 kututembelea hapa Dar, ilikua wakae mwezi mmoja then warudi kijijinilakini cha kushangaza hivi ninavyozungumza nanyi tarehe 30-06-2015 jumanne, hawajaondoka kurudi kijijini kwao hadi Leo miaka takribani minne tangu 2011 January
Kijijini kwao si kubaya kihivyo, kuna nyumba ya bati, kulikua na mifugo na mashamba lakini vyote hivyo vilikufa kutokana na kutelekezwa na mwenyewe ambao wamekimbilia kwetu Dar. Ni nyumba tu ndo ipo pale ila imekua...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kwanini Rwanda imeongeza muda wa marufuku ya kutotoka nje?

Marufuku ya kutotoka nje ilikuwa imalizike mwishoni mwa juma hili, lakini mambo hayajawa kama ilivyopangwa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani