Coronavirus: Je ni tiba zipi nne ambazo WHO inazifanyia utafiti kutibu virisi vya corona?
Shirika la afya duniani lilianzisha mpango wa mshikamano 'solidarity' ambao unahusisha utafiti ambapo mataifa kumi yatafanyia uchunguzi dawa nne zinavyoweza kutibu covid 19
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-QenlImWWxcA/XoCme89-d7I/AAAAAAABL9A/ES41cd9PfBA-SxxpcPeKELWOT1WHTsS5ACLcBGAsYHQ/s72-c/_111401316_1.jpg)
JE NI TIBA ZIPI NNE AMBAZO WHO INAZIFANYIA UTAFITI KUTIBU KORONA?
![](https://1.bp.blogspot.com/-QenlImWWxcA/XoCme89-d7I/AAAAAAABL9A/ES41cd9PfBA-SxxpcPeKELWOT1WHTsS5ACLcBGAsYHQ/s640/_111401316_1.jpg)
Kufikia tarehe 23 mwezi machi , zaidi ya watu 350,000 walikuwa wamembukizwa virusi vya corona katika mataifa 170 duniani huku watu 16000 wakiripotiwa kufariki. ''Mpango mahsusi wa kuokoa maisha'', hivi ndivyo shirika la afya duniani WHO linavyoelezea juhudu zake mpya za kukabiliana na virusi vya corona. Kufikia tarehe 23 mwezi machi , zaidi ya watu 350,000 walikuwa wameambukizwa virusi vya corona katika mataifa 170 duniani huku watu...
5 years ago
BBCSwahili06 Jun
Virusi vya Corona: Dawa ya kutibu malaria ya hydroxychloroquine sio tiba ya corona
Dawa ya kutibu malaria aina ya Hydroxychloroquine sio tiba ya Covid-19, utafiti wa Oxford umesema.
5 years ago
BBCSwahili26 Mar
Coronavirus: Kwanini rais Trump ana imani na dawa ya Hydrochloroquine 'kutibu' virusi vya corona?
Rais Trump anaamini kwamba dawa hii inaweza kuleta tofauti kubwa duniani katika vita dhidi ya virusi vipya vya ugonjwa wa corona katika mwili wa binadamu.
5 years ago
BBCSwahili25 Jun
Virusi vya corona: Maji ya chumvi kufanyiwa utafiti wa tiba ya virusi
Utafiti wa awali ulionesha kwamba dawa za kutengenezwa nyumbani zinaweza kusaidia kupuguza makali ya dalili za virusi vya corona kama ilivyo kwa homa.
5 years ago
BBCSwahili25 Apr
Virusi vya Corona: Taarifa ambazo si sahihi kuhusu corona zimetapakaa Afrika?
Madai kuhusu virusi Corona ambayo hayana udhibitisho zimetapakaa katika mataifa mbalimbali Afrika.
5 years ago
BBCSwahili22 May
Virusi vya Corona: Vitu gani tunaweza kujifunza kwa nchi ambazo zimepambana mapema na corona?
Kuna uwezekano mkubwa wa kutokea kwa wimbi la pili baada ya kulegezwa kwa masharti
5 years ago
BBCSwahili21 May
Virusi vya corona: Je dawa za malaria zinaweza kutibu corona pia
Jaribio la matumizi ya dawa za malaria kuona kama zinaweza kuzuia ugonjwa wa Corona limeanza nchini Uingereza katika mji wa Brighton na Oxford.
5 years ago
BBCSwahili16 Jun
Virusi vya corona: Marekani yasitisha matumizi ya dawa ya hydroxychloroquine kutibu corona
Rais Trump atetea dawa ya hydroxychloroquine licha ya shirika la FDA kusema hakuna ushahidi kuwa dawa hii inatibu corona
5 years ago
BBCSwahili03 May
Virusi vya corona: Je, Madagascar wamepata dawa ya mitishamba kutibu virusi vya corona?
Rais wa Madagasca ametangaza dawa ya kunywa ya mitishamba inayotokana na mmea wa pakanga pamoja na mimea mingine inayoweza kutibu maambukizi ya virusi vya corona.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania