Coronavirus: Jinsi ugonjwa ulivyothibitisha chuki dhidi ya Wachina ama Sinophobia
Ongezeko la ubaguzi kwa Wachina limechochewa na kuibuka coronavirus na inathibitisha namna gani dunia inavyoiona China kwa jicho la tofauti.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili08 Mar
Coronavirus: 'Unyanyapaa' ulivyochochea chuki dhidi ya Wachina nchini Kenya
Kabla ya kurekodi hata kisa kimoja cha maambukizi ya virusi vya Corona, Kenya imeshuhudia unyanyapaa dhidi ya Wachina mara kadhaa.
5 years ago
BBCSwahili20 Apr
Virusi vya Corona: Jinsi mlipuko wa corona unavyochochea chuki dhidi ya Waislamu India
Jinsi mkutano wa kidini ulivyozua taharuki ya maambukizi ya virusi vya corona India.
10 years ago
Mwananchi19 Dec
Jinsi chakula kinavyonufaisha ama kudhuru afya
Aghalabu watu wanayafahamu matumizi ya ulimi kama kujua ladha, kusaidia katika kuunda maneno wakati wa mazungumzo na huchanganya na hata kuchambua chakula wakati wa kutafuna na umeng’enyaji wa chakula.
11 years ago
BBCSwahili02 Dec
Chuki dhidi ya wahamiaji Afrika Kusini
Chuki dhidi ya wahamiaji kutoka nchi zingine linaendelea kukita mizizi nchini Afrika Kusini
11 years ago
Michuzi20 Apr
ASKOFU KKKT IRINGA DKT MDEGELA ATAKA'UKAWA' WASIRUHUSIWE KUENEZA CHUKI NCHINI, AWATAKA WAREJEE BUNGENI AMA WAFUNGASHE VIRAGO WARUDI NYUMBANI ASEMA SERIKALI NI MBILI PEKEE
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA Na Francis Godwin, Iringa
ASKOFU mkuu wa Kanisa la Kilutheri (KKT) dayosisi ya Iringa Dkt. OwdenburgMdegela ameitumia ibada ya Jumapili ya Pasaka leo kulaani vikali wale wote wanaowatukana...
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Coronavirus: Wachina washauriwa kuzingatia usafi
China inajaribu kudhibiti maambukizi wa virusi vya corona katika mkoa wa Hubei huku idadi ya waliofariki kutokana na virusi hiyvo vinavyosababisha maradhi ya mapafu ikiendelea kuongezeka.
10 years ago
Mwananchi12 Jun
Ufahamu ugonjwa wa pumu na jinsi watu wengi walivyo hatarini
Mtu mwenye pumu huwa na mcharuko uvimbe sugu mwilini kwenye mirija yake ya kupitishia hewa (bronchioles tubes) hali ambayo husababisha kuvimba kwa kuta za mirija hii na kuwa na ute mzito hivyo kupungua kwa njia ya kupitishia hewa.
10 years ago
MichuziWAFANYAKAZI WA SEKTA YA AFYA ZANZIBAR WAPEWA MAFUNZO JINSI YA KUKABILIANA NA UGONJWA WA EBOLA
5 years ago
BBCSwahili15 May
Virusi vya Corona: Jinsi ugonjwa usio wa kawaida aina ya kawasaki unavyoathiri watoto
"Hilo halistahili kufanya wazazi wasiwaruhusu watoto kutoka nje."
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania