Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Coronavirus: Wachina washauriwa kuzingatia usafi

China inajaribu kudhibiti maambukizi wa virusi vya corona katika mkoa wa Hubei huku idadi ya waliofariki kutokana na virusi hiyvo vinavyosababisha maradhi ya mapafu ikiendelea kuongezeka.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Washauriwa kuzingatia matumizi ya mikataba

WABUNGE na madiwani wametakiwa kuzingatia matumizi sahihi ya mikataba mbalimbali kwa mujibu wa taratibu na makusudi, ambayo yanalenga kuboresha maslahi ya halmashauri.

 

9 years ago

Dewji Blog

Watanzania washauriwa kuzingatia Afya bora ya Moyo

Print

Ikiwa zimepita siku tatu toka kuhadhimishwa siku ya Moyo duniani mwaka huu, Watanzania wameshauriwa kufanya maamuzi binafsi katika kujali afya ya moyo. Kauli mbiu ya Siku ya Moyo duniani mwaka 2015 inahusu kuchagua afya bora ya moyo kwa kila mtu na kila mahali. Pia inalenga kuonyesha matokeo ambayo mazingira yetu yanaweza kuleta juu ya uwezo wetu wa kufanya maamuzi bora kwa ajili afya bora kwa moyo wa binaadamu. Pia siku hiyo inatumika kuelimisha jinsi ambavyo mazingira tunayoishi yanaweza...

 

9 years ago

StarTV

Wanahabari washauriwa kuzingatia sheria, na kanuni za uandikaji habari za bunge

 

Waandishi wa habari nchini wameshauriwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za uendeshwaji wa Bunge wakati wa kutoa habari zinazohusu Bunge kwa kuripoti habari zenye kuwagusa wananchi moja kwa moja kwa manufaa ya Watanzania .

Ushauri huo umetolewa na waandishi habari waandamizi ambao wamewataka waandishi kuacha kuandika habari kwa ushabiki usiokuwa na tija kwa wananchi bali kuzingatia miiko ya taaluma hiyo.

Wakati wabunge wateule wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wakiendelea na Usajili...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wananchi waaswa kuzingatia usafi wa mazingira

IMG_6063

Afisa Afya wa Manispaa ya Temeke Bw.Willium Muhemu akifafanua kwa waandishi wa habari mafanikio yaliyofikiwa na Manispaa hiyo katika kuwaondoa wafanyabiashara wanaofanya biashara katika maeneo yasiyo rasmi pamoja na watu wote wanaochafua mazingira,Kulia ni Afisa Uhusiano wa Manispa hiyo Bi. Joyce Nsumba.(Picha zote na FRANK MVUNGI-maelezo).

IMG_6115

Afisa Mazingira wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke Bw.Ernest Mamuya akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)kuhusu hatua...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waandaaji wa Tuzo za filamu nchini washauriwa kuzingatia viwango na ubora wa kazi za wasanii

KS2

Katibu wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo (kushoto) akiwa katika kikao cha majadiliano na kamati ya Maandalizi ya Nyumbani Kiswahili Film Awards yaliyofanyika hivi karibuni ofisini kwake jijini Dar es Salaam.

KS3

Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi  Nyumbani Kiswahili Film Awards Bw. Fadhil Francis Mfate akichangia hoja wakati wa kikao cha majadiliano kuhusu maandalizi ya Tuzo hizo yaliyofanyika katika ofisi za Bodi ya Filamu hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni...

 

5 years ago

Michuzi

WAUZAJI WA VYAKULA KWENYE MIGAHAWA WATAKIWA KUZINGATIA USAFI


Mtengenezaji wa Juisi katika Mgahawa wa Henry, Wilayani Bukombe, akijieleza mbele ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Zainab Chaula jinsi wanavyoandaa juisi hizo.
Katibu Mkuu Dkt. Zainab Chaula akitoa pesa kuwanunulia juice wauzaji wa mgahawa huo.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Zainab Chaula akikagua usafi kwenye mgahawa huo.
Wauzaji wa mgahawa wakikinga juice waliyonunuliwa na katibu mkuu Dkt. Chaula....

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: 'Unyanyapaa' ulivyochochea chuki dhidi ya Wachina nchini Kenya

Kabla ya kurekodi hata kisa kimoja cha maambukizi ya virusi vya Corona, Kenya imeshuhudia unyanyapaa dhidi ya Wachina mara kadhaa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Jinsi ugonjwa ulivyothibitisha chuki dhidi ya Wachina ama Sinophobia

Ongezeko la ubaguzi kwa Wachina limechochewa na kuibuka coronavirus na inathibitisha namna gani dunia inavyoiona China kwa jicho la tofauti.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Watanzania walio nje washauriwa kurejea nyumbani kabla ya Jumamosi

"Watanzania walio nje ya nchi wabaki hukohuko ikizidi Jumamosi, watuache tupumue,"Hamad Rashid waziri wa Afya Zanzibar.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani