Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi waaswa kuzingatia usafi wa mazingira

IMG_6063

Afisa Afya wa Manispaa ya Temeke Bw.Willium Muhemu akifafanua kwa waandishi wa habari mafanikio yaliyofikiwa na Manispaa hiyo katika kuwaondoa wafanyabiashara wanaofanya biashara katika maeneo yasiyo rasmi pamoja na watu wote wanaochafua mazingira,Kulia ni Afisa Uhusiano wa Manispa hiyo Bi. Joyce Nsumba.(Picha zote na FRANK MVUNGI-maelezo).

IMG_6115

Afisa Mazingira wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke Bw.Ernest Mamuya akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)kuhusu hatua...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

ZOEZI LA USAFI WA MAZINGIRA NCHI NZIMA DK.SHEIN AJUMUIKA NA WANANCHI

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Zanzibar Khatib Abrahman Khatib wakati alipowasilikati eneo la Malindi Mjini Zanzibar katika zoezi ka Usafi wa mazingira katika kuadhimisha miaka 54 ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lililoshirikisha Viongozi na Wananchi mbali mbali nchini. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizoa taka katika zoezi ka Usafi wa mazingira...

 

11 years ago

Michuzi

Wananchi Wilayani Mpanda waaswa kutunza vyanzo vya maji na mazingira

Na Kibada Kibada –Katavi
Wananchi wa Halmashauri ya wilaya ya Mpanda wamepewa changamoto kutunza vyanzo vya maji na kuhifadhi  mazingira  kwani kuharibu mazingira kunapelekea kuchangia ukame na kukosekana na maji ambayo  ndiyo uhai wa viumbe na tegemeo la maisha ya wanadamu na wanyama.
Changamoto hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mpanda Kibiriti Yasini wakati akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Milala Kata ya Kabungu kwenye  maandalizi ya wiki ya maji inayotarajiwa kufanyika...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI NA WANANCHI WA ENEO LAKE KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA, MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishiriki kuzoa taka na baadhi ya wananchi wakazi wa eneo lake la Oysterbay- Karume Raod, wakati wa zoezi la kufanya usafi wa mazingira ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 54 ya Uhuru wa Tanzania kama alivyoagiza Mhe Rais Dkt. John Pombe Magufuli, ambapo zoezi hilo limefanyika nchini kote hii leo.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili eneo la Kituo cha Daladala cha...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wajasiriamali waaswa kuzingatia viwango

WAJASIRIAMALI wadogo na wa kati nchini wametakiwa kuzalisha bidhaa bora kwa kuzingatia viwango vinavyotakiwa kwa mtumiaji. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar es Salaam juzi, Msemaji wa Shirika la ViwangoTanzania...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Wachina washauriwa kuzingatia usafi

China inajaribu kudhibiti maambukizi wa virusi vya corona katika mkoa wa Hubei huku idadi ya waliofariki kutokana na virusi hiyvo vinavyosababisha maradhi ya mapafu ikiendelea kuongezeka.

 

11 years ago

Mwananchi

Askari JWTZ waaswa kuzingatia mafunzo

Askari na maofisa wa Kamandi ya Anga ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wametakiwa kuzingatia mafunzo wanayopewa kwani yanawaweka tayari kukabilina na majukumu makubwa yanayoweza kutokea nchini na kimataifa.

 

9 years ago

Michuzi

WASIMAMIZI WAASWA KUZINGATIA SHERIA, KANUNI NA TARATIBU

 Mwanasheria wa tume ya uchaguzi Bw.Mtibora Seleman akifafanua jambo wakati wa semina hiyo. Wanasemina wakifatilia kwa karibu mafunzo hayo yanayofanyika katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.UCHAGUZI MKUU MAANDALIZI KANDA YA ZIWA YAENDELEA VIZURINa Atley Kuni- The Power of Media grew.IMEFAHAMIKA kwamba maandalizi muhimu ya uchaguzi mkuu kwa mikoa ya kanda ya ziwa yanaendelea vizuri huku, waratibu wa uchaguzi, wasimamizi na maafisa uchaguzi kutoka mikoa ya Mwanza na Mara wakiaswa...

 

10 years ago

StarTV

Wakaguzi hesabu za Serikali waaswa kuzingatia sheria.

Na Jackson Monela,

Morogoro.

Wakaguzi na Wadhibiti wa Hesabu za Serikali nchini wametakiwa kuzingatia sheria na kanuni za ukaguzi wa mahesabu katika utendaji kazi ikiwa ni pamoja na kufuata maadili ya kazi zao.

Rai hiyo imetolewa na Kaimu Katiba Tawala Mkoa wa Morogoro Lucas Mwaisaka katika ufunguzi wa mafunzo kwa wakaguzi wakuu wa kanda na mikoa.

Amesema wakaguzi wengi wamekuwa wakifanya ukaguzi kwa makini lakini tatizo limekuwepo katika uandikaji wa ripoti zinazohusiana na kaguzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani