Wanahabari washauriwa kuzingatia sheria, na kanuni za uandikaji habari za bunge
Waandishi wa habari nchini wameshauriwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za uendeshwaji wa Bunge wakati wa kutoa habari zinazohusu Bunge kwa kuripoti habari zenye kuwagusa wananchi moja kwa moja kwa manufaa ya Watanzania .
Ushauri huo umetolewa na waandishi habari waandamizi ambao wamewataka waandishi kuacha kuandika habari kwa ushabiki usiokuwa na tija kwa wananchi bali kuzingatia miiko ya taaluma hiyo.
Wakati wabunge wateule wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wakiendelea na Usajili...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziWASIMAMIZI WAASWA KUZINGATIA SHERIA, KANUNI NA TARATIBU
9 years ago
VijimamboUCHAGUZI MKUU MAANDALIZI KANDA YA ZIWA YAENDELEA VIZURI, Wasimamizi waaswa kuzingatia Sheria, kanuni na taratibu
Imefahamika kwamba maandalizi muhimu ya uchaguzi mkuu kwa mikoa ya kanda ya ziwa yanaendelea...
10 years ago
Vijimambo14 Nov
BODI YA FILAMU TANZANIA YAZITAKA KAMPUNI ZA FILAMU KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI ZA FILAMU.
9 years ago
Dewji Blog22 Nov
Wanahabari Visiwani Zanzibar wasisitizwa kufuata sheria za Habari zilizopo!!
Baadhi ya Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Zanzibar Press Club ZPC wakiwa katika Picha ya pamoja na Mgeni rasmi wa Mkutano huo Dkt. Aboubakar Rajab wakatikati waliokaa huko Hoteli ya Zanzibar Ocean mjini Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar
Na Maelezo Zanzibar
[ZANZIBAR] Wanahabari wametakiwa kuendelea kutii Sheria zilizopo zinazoongoza mwenendo wa utoaji wa habari nchini, huku Taasisi za kihabari zikiendelea kufuatilia upatikanaji wa sheria Bora za habari zinazoendana na...
11 years ago
Michuzi05 Aug
10 years ago
Dewji Blog07 Sep
Weledi na kuzingatia maadili ya uandishi wa shughuli za Bunge Maalum la Katiba kutaleta tija kwa waandishi wa habari
Mkurugenzi wa Habari, Elimu kwa Umma na Itifaki wa Bunge Maalum la Katiba, Bw. Jossey Mwakasyuka (kushoto) akisisitiza jambo wakati wa semina iliyoandaliwa kwa ajili ya waandishi wa habari kuhusu kuimarisha Uandishi wa Habari za shughuli za Bunge iliyofanyika tarehe 6 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa African Dreams mjini Dodoma. Kulia ni Mshauri wa mambo ya Kiufundi toka Shirika la Kimataifa la UNDP, Bi. Anna Kochannesyan.
Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.
Kanuni za Bunge Maalum hususani...
10 years ago
MichuziWELEDI NA KUZINGATIA MAADILI YA UANDISHI WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALU LA KATIBA KUTALETA TIJA KWA WAANDISHI WA HABARI
Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.
Kanuni za Bunge Maalum hususani Kanuni ya 77 inawataka waandishi wa habari kuandika habari za Bunge Maalum kwa weledi mkubwa na kuzingatia maadili ya uandishi wa habari ili kujiepusha na uandishi wenye utashi na ushabiki wa kisiasa, msukumo binafsi, chuki ama uchochezi na wakati mwingine uongo wa makusudi.
Aidha, katika Kanuni hiyo hiyo ya 77(3) inatamka bayana ya kuwa “Katibu anaweza wakati wowote kuondoa ruhusa aliyotoa kwa mwakilishi wa Chombo chochote...
10 years ago
Dewji Blog08 Sep
Wanahabari wapigwa msasa kuhusu namna bora ya kuimarisha uandishi wa habari za shughuli za Bunge
Mkurugenzi wa Habari, Elimu kwa Umma na Itifaki wa Bunge Maalum la Katiba, Bw. Jossey Mwakasyuka (kushoto) akisisitiza jambo wakati wa semina iliyoandaliwa kwa ajili ya waandishi wa habari kuhusu kuimarisha Uandishi wa Habari za shughuli za Bunge iliyofanyika tarehe 6 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa African Dreams Conference mjini Dodoma. Kulia ni Mshauri wa mambo ya Kiufundi toka Shirika la UNDP, Bi. Anna Kochannesyan.
Na Magreth Kinabo, Maelezo.
WAANDISHI wa habari nchini wameaaswa...