Wanahabari Visiwani Zanzibar wasisitizwa kufuata sheria za Habari zilizopo!!
Baadhi ya Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Zanzibar Press Club ZPC wakiwa katika Picha ya pamoja na Mgeni rasmi wa Mkutano huo Dkt. Aboubakar Rajab wakatikati waliokaa huko Hoteli ya Zanzibar Ocean mjini Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar
Na Maelezo Zanzibar
[ZANZIBAR] Wanahabari wametakiwa kuendelea kutii Sheria zilizopo zinazoongoza mwenendo wa utoaji wa habari nchini, huku Taasisi za kihabari zikiendelea kufuatilia upatikanaji wa sheria Bora za habari zinazoendana na...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog25 Aug
Shirika la Habari la Marekani la Inernews laendesha mafunzo ya siku tano kwa wanahabari Visiwani Zanzibar juu ya kuripoti habari za uchaguzi mkuu
Mhadhiri wa Sheria, Kitivo cha Sheria Zanzibar University, Ali Uki akionyesha kitabu cha Sheria cha Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na kitabu cha Sheria cha Tanzania na cha Zanzibar ambavyo vinawapasa waandishi wa habari kuvisoma na kuzitumia sheria hizo katika kuandika habari za Uchaguzi Mkuu kwa usahihi.
Mkufunzi na Mwandishi Mkongwe wa Tasnia ya Habari Zanzibar Salim Said Salim akitoa mada katika mafunzo ya siku tano juu ya kuandika Habari za Uchaguzi Mkuu yaliyoandaliwa na...
10 years ago
Habarileo02 Jan
Madereva wasisitizwa kufuata sheria
KAMPENI ya usalama barabarani ya kuwataka madereva nchini kuzingatia sheria za usalama barabarani iliyozinduliwa hivi karibuni na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe jana imeendelea katika mkoa wa Dodoma.
9 years ago
StarTV15 Nov
Wanahabari washauriwa kuzingatia sheria, na kanuni za uandikaji habari za bunge
Waandishi wa habari nchini wameshauriwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za uendeshwaji wa Bunge wakati wa kutoa habari zinazohusu Bunge kwa kuripoti habari zenye kuwagusa wananchi moja kwa moja kwa manufaa ya Watanzania .
Ushauri huo umetolewa na waandishi habari waandamizi ambao wamewataka waandishi kuacha kuandika habari kwa ushabiki usiokuwa na tija kwa wananchi bali kuzingatia miiko ya taaluma hiyo.
Wakati wabunge wateule wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wakiendelea na Usajili...
10 years ago
Dewji Blog21 Jul
Karibu Zanzibar Fashion Festival 2015 ilivyofana Visiwani Zanzibar
Mmoja wa waanzilishi wa Karibu Zanzibar Fashion, Joseph Alban (mwenye suti nyeusi) akiongea machache kwa niaba ya wenzake wakati wa kuhitimisha tukio hilo usiku wa jana…(Picha zote na Andrew Chale wa modewjiblog.com)
Na Andrew Chale, modewjiblog
(Zanzibar) Usiku wa Julai 20 ulikuwa ni wa kipekee kwa viunga vya Unguja Kisiwani Zanzibar kutokana na tukio moja tu la kipekee la onesho la mavazi lijulikanalo kama KARIBU ZANZIBAR FASHION FESTIVAL 2015 lililoteka umati wa wadau wa fani hiyo na...
10 years ago
VijimamboKITUO CHA HUDUMA ZA SHERIA (ZLSC) ZANZIBAR CHATOA MAFUNZO KWA WASAIDIZI WA SHERIA WA MAJIMBO YA ZANZIBAR
10 years ago
Habarileo17 Mar
Waajiri watakiwa kufuata sheria
MWENYEKITI mpya wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) amewataka waajiri na wafanyakazi wote nchini kufuata Sheria na Taratibu za Kazi, kwani uvunjwaji wake ndio chanzo kikubwa cha uwepo wa migogoro mingi inayowasilishwa kwenye tume hiyo.
10 years ago
Habarileo04 Oct
NGOs zatakiwa kufuata sheria
MASHIRIKA yasiyo ya serikali(NGOs) yamekumbushwa kufanya kazi bila ubaguzi na kuhakikisha yanafuata taratibu na sheria za usajili wake.
11 years ago
Tanzania Daima01 Aug
CCM watakiwa kufuata sheria
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, amewataka wanasiasa wanaofanya mikutano ya hadhara katika majimbo yao kuacha mara moja kwani ni kuvunja sheria...
9 years ago
StarTV15 Nov
Wachimbaji watakiwa kufuata sheria ya uchimbaji
Kamati maalum iliyoundwa na Serikali kushughulikia tatizo la muingiliano ndani ya migodi ya madini katika machimbo ya Madini ya TANZANITE Mirerani, imetoa uamuzi wa kuwataka wachimbaji wote kufuata sheria ya uchimbaji kulingana na leseni zao.
Hatua hiyo inatazamiwa kwamba huwenda ikasaidia kutatua matatizo ya mara kwa mara baina ya wachimbaji wadogo na wakubwa wanapokutana chini ya ardhi tukio linalofahamika zaidi kwa jina la “MTOBOZANO”
Awali Serikali iliamua kuunda kamati maalumu...