Watanzania washauriwa kuzingatia Afya bora ya Moyo
Ikiwa zimepita siku tatu toka kuhadhimishwa siku ya Moyo duniani mwaka huu, Watanzania wameshauriwa kufanya maamuzi binafsi katika kujali afya ya moyo. Kauli mbiu ya Siku ya Moyo duniani mwaka 2015 inahusu kuchagua afya bora ya moyo kwa kila mtu na kila mahali. Pia inalenga kuonyesha matokeo ambayo mazingira yetu yanaweza kuleta juu ya uwezo wetu wa kufanya maamuzi bora kwa ajili afya bora kwa moyo wa binaadamu. Pia siku hiyo inatumika kuelimisha jinsi ambavyo mazingira tunayoishi yanaweza...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboWATANZANIA WAASWA KUZINGATIA AFYA BORA YA MOYO
Na Mwandishi Wetu,Dar Es Salaam, Oktoba 2015:IkiwazimepitasikutatutokakuhadhimishwasikuyaMoyodunianimwakahuu, Watanzaniawameshauriwakufanyamaamuzibinafsikatikakujaliafyayamoyo. KaulimbiuyaSikuyaMoyodunianimwaka2015 inahusukuchaguaafyabora yamoyokwakilamtunakilamahali. Piainalengakuonyeshamatokeoambayomazingirayetuyanawezakuletajuuyauwezowetuwakufanyamaamuzi...
10 years ago
MichuziWAZIRI WA AFYA AIPONGEZA MUHIMBILI KUFANIKISHA MATIBABU YA MOYO KWA WATANZANIA
Hayo ameyasema alipotembelea Hospitali hiyo kuona namna ambavyo wataalam wetu kwa kushirikiana na madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Prince Sultan Cardiac Centre iliyoko Riyadhi nchini Saudi Arabia ambao wamekuwepo Muhimbili toka tarehe 9 Mei na wanatarajiwa kuondoka...
10 years ago
Michuzi01 Jul
WAZIRI MKUU AHIMIZA WANANCHI KUEPUKANA NA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA KWA KUPIMA AFYA ZAO NA KUZINGATIA MTINDO BORA WA MAISHA
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akizungumza na umati wa watu waliokisanyika katika banda la NHIF juu ya umuhimu wa watu kupima afya zao mara kwa mara na kuzingatia kanuni bora za maisha ili kuepuka maginjwa yasiyoambikiza ambayo mengi husababishwa na unene uliokithiri. Mh. Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF kuhusu huduma zinazotolewa na banda la NHIF katika Maonesho ya Wiki ya Serikali za Mitaa viwanja vya Mashujaa Mtwara. Msururu wa wananchi wa...
10 years ago
Habarileo08 Nov
Washauriwa kuzingatia matumizi ya mikataba
WABUNGE na madiwani wametakiwa kuzingatia matumizi sahihi ya mikataba mbalimbali kwa mujibu wa taratibu na makusudi, ambayo yanalenga kuboresha maslahi ya halmashauri.
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Coronavirus: Wachina washauriwa kuzingatia usafi
9 years ago
StarTV15 Nov
Wanahabari washauriwa kuzingatia sheria, na kanuni za uandikaji habari za bunge
Waandishi wa habari nchini wameshauriwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za uendeshwaji wa Bunge wakati wa kutoa habari zinazohusu Bunge kwa kuripoti habari zenye kuwagusa wananchi moja kwa moja kwa manufaa ya Watanzania .
Ushauri huo umetolewa na waandishi habari waandamizi ambao wamewataka waandishi kuacha kuandika habari kwa ushabiki usiokuwa na tija kwa wananchi bali kuzingatia miiko ya taaluma hiyo.
Wakati wabunge wateule wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wakiendelea na Usajili...
9 years ago
Dewji Blog07 Dec
Vijana washauriwa kuwa na moyo wa kujitolea
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel akitoa nasaa zake kwa Vijana wanaojishughulisha na shughuli mbalimbali za kujitolea katika taasisi mbalimbali hapa nchini Tanzania wakati wa maadhimisho ya siku ya kujitolea Duniani ambapo Tanzania yamefanyika jijini Dar. (Picha zote na Geofrey Adroph wa Pamoja Blog).
Mkurugenzi Mkazi wa UNDP nchini, Awa Dabo akitoa historia ya kujitolea pamoja na kuwasisitiza vijana kuwa na moyo wa kujitolea katika...
10 years ago
Dewji Blog22 Dec
Waandaaji wa Tuzo za filamu nchini washauriwa kuzingatia viwango na ubora wa kazi za wasanii
Katibu wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo (kushoto) akiwa katika kikao cha majadiliano na kamati ya Maandalizi ya Nyumbani Kiswahili Film Awards yaliyofanyika hivi karibuni ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi Nyumbani Kiswahili Film Awards Bw. Fadhil Francis Mfate akichangia hoja wakati wa kikao cha majadiliano kuhusu maandalizi ya Tuzo hizo yaliyofanyika katika ofisi za Bodi ya Filamu hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni...
5 years ago
MichuziWAGONJWA WENYE MATATIZO YA MOYO WASHAURIWA KUHUDHURIA KLINIKI BILA KUKOSA
Wataalamu wa usingizi na wagonjwa walioko katika chumba cha Uangalizi maalum (ICU) wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimlaza mgonjwa kabla ya kuzibuliwa mshipa mkubwa wa damu ya moyo ambao haukuwa unapitisha damu vizuri. Upasuaji huo wa bila kufungua kifua unafanyika kwa kutumia mtambo wa Cathlab (Catheterization Laboratory) ambapo mgonjwa anatobolewa tundu dogo katika mshipa wa damu ulioko kwenye paja.
Wataalamu wabobezi wa moyo na wazibuaji wa mishipa ya damu ya moyo wa...