Coronavirus: Mwanamfalme Charles wa Uingereza apata maambukizi ya virusi
Mwanamfalme Charles wa Uingereza amekutwa na maambukizi ya virusi vya corona, kulingana taarifa iliyotolewa na Ufalme
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili19 Apr
Virusi vya corona: Apata maambukizi akiwa gerezani
Nyota wa Iran, Fatemeh Khishvand aliyekuwa amepata virusi vya corona akiwa gerezani, kulingana na wakili wake.
5 years ago
BBCSwahili11 Mar
Coronavirus: Waziri wa afya Uingereza Nadine Dorries akutwa na maambukizi
Nadine Dorries, Mbunge wa kwanza kuathirika ni mmoja kati ya watu 382 waliothibitishwa kuwa na maambukizi ya virusi vya corona nchini Uingereza.
5 years ago
BBCSwahili30 Mar
Coronavirus: Prince Charles sasa anaweza kutangamana baada ya kukutwa na virusi vya corona juma lililopita
Mrithi wa kiti cha Ufalme Uingereza yuko katika afya nzuri, siku saba baada ya kupatikana na virusi vya corona.
5 years ago
BBCSwahili07 Mar
Coronavirus: Unachohitajika kufanya ili kuzuia maambukizi ya virusi hivi
Hatua baada ya hatua ya unachohitajika kufanya ili kuzuia maambukizi ya virusi vya corona
5 years ago
BBCSwahili24 Mar
Coronavirus: Je unaweza kupata maambukizi ya virusi vya Covid-19 mara mbili?
Baadhi ya wagonjwa wamepona virusi vya Covid-19, baada ya vipimo kuonesha kuwa hawana coronavirus, lakini je wanaweza kupatikana na virusi vya Covid-19 baadae?. Maambukizi ya coronavirus, ambayo yanadalili kama ya mafua ya kawaida, kwa kawaida husababisha mgonjwa kuwa na kinga ya mwili. Je kuna tofauti na virusi hivi?
5 years ago
BBCSwahili19 Mar
Coronavirus: Mwanamuziki wa Bongo Flava nchini Tanzania athibitisha kuwa na maambukizi ya virusi
Mwanamuziki wa Bongo Flava nchini Tanzania Mwana FA amesema aligundulika kuwa ana maambukizi baada ya kurudi kutoka Afrika Kusini.
5 years ago
BBCSwahili12 Mar
Coronavirus: Wafahamu watu mashuhuri duniani waliopata maambukizi ya virusi vya corona
Wananasiasa, wanamichezo na waigizaji maarufu duniani ni miongoni mwa watu walioambukizwa na virusi vya corona.
10 years ago
BBCSwahili31 May
Mwanamfalme wa Uingereza aikashifu FIFA
Mwana wa mfalme wa Uingereza, William ametoa wito kwa shirikisho la soka duniani FIFA kuweka maslahi ya soka mbele ya matamanio ya kibinafsi.
5 years ago
BBCSwahili23 Mar
Coronavirus: Je, virusi vinaweza kukaa kwa muda gani katika vitu kabla kusababisha maambukizi?
Tunaweza kupata maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19 kwa kushika vitu ambavyo vimepata vijidudu vya virusi vipya vya corona, lakini haijawa wazi virusi hivi vinaweza kukaa katika vitu au nje ya mwili wa binadamu kwa kipindi cha muda gani?
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania