Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Coronavirus: Waziri wa afya Uingereza Nadine Dorries akutwa na maambukizi

Nadine Dorries, Mbunge wa kwanza kuathirika ni mmoja kati ya watu 382 waliothibitishwa kuwa na maambukizi ya virusi vya corona nchini Uingereza.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson akutwa na coronavirus

Bwana Johnson amekutwa na coronavirus, baada ya kufanyiwa vipimo, imesema ofisi yake Downing Street.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Mwanamfalme Charles wa Uingereza apata maambukizi ya virusi

Mwanamfalme Charles wa Uingereza amekutwa na maambukizi ya virusi vya corona, kulingana taarifa iliyotolewa na Ufalme

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Shirika la Afya la Duniani latoa angalizo dhidi ya kasi ya maambukizi

Zaidi ya watu 300,000 wameripotiwa kuwa na maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19 ambao umesambaa karibu duniani kote.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson yuko katika chumba cha wagonjwa mahututi.

Coronavirus: Waziri Mkuu wa Uingereza yuko katika chumba cha wagonjwa mahututi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Zaidi ya maambukizi 10,000 kwa siku moja Marekani wakati Uhispania ikiongoza kwa maambukizi ya corona

Takwimu za sasa za ugonjwa wa Covid-19 zaonyesha Uhispania kuongoza huku Marekani maambukizi yaongezeka kwa kasi ndani ya siku moja tu.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Visa vya maambukizi ya Coronavirus vyaongezeka Kenya na Uganda

Kenya imethibitisha visa vingine saba vya maambukizi ya ugonjwa wa coronavirus, huku Uganda ikiandikisha visa vingine vitano

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Mtu wa pili akutwa na virusi hivyo DR Congo

Kisa cha pili cha maambukizi ya ugonjwa wa coronavirus kimethibitishwa nchini Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Mtu wa kwanza akutwa na virusi hivyo Kenya

Kisa cha kwanza cha virusi vya corona chathibitishwa Kenya

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Beki wa kati, Daniele Rugani akutwa na virusi , wachezaji wa Arsenal wajiweka karantini

Juventus imetangaza kwamba beki wa kati wa Italia Daniele Rugani amepatikana na virusi corona.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani