COSOTA: WATUMIAJI WA PROGRAMU ZA KOMPUTA WAASWA KUTUMIA PROGRAM HALISI
![](http://2.bp.blogspot.com/-wvSg1k-0tEA/VgFFde28LaI/AAAAAAAC_Zc/7PSplGo2VGA/s72-c/IMG_9057.jpg)
Afisa Mtendaji na Msimamizi wa Hakimiliki (Cosota), Dorine Sinare akizungumza na baadhi ya wadau wa proramu mbalimbali za Komputa leonjijini Dar es Salaam leo.
Afisa Masoko Madogo na Uhusiano Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika,Robin Njiru akielezea juu ya huduma zinazotolewa na kampuni ya Microsoft na koprogram mbalimbali za komputa leo jijini Dar es Salaam.
Afisa Mtendaji na Msimamizi wa Hakimiliki (Cosota), Dorine Sinare akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa Program za Komputa leo...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-wvSg1k-0tEA/VgFFde28LaI/AAAAAAAC_Zc/7PSplGo2VGA/s72-c/IMG_9057.jpg)
WATUMIAJI WA PROGRAMU ZA KOMPUTA WAASWA KUTUMIA PROGRAM HALISI —COSOTA
![](http://2.bp.blogspot.com/-wvSg1k-0tEA/VgFFde28LaI/AAAAAAAC_Zc/7PSplGo2VGA/s640/IMG_9057.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-HQZo7JErUiA/VgFFdKM8GjI/AAAAAAAC_ZY/fSCTRFjoDR4/s640/IMG_9047.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-lIViDcYmCk8/VgFFdkbfjZI/AAAAAAAC_Zg/gXc2_ZgB378/s640/IMG_9077.jpg)
9 years ago
Dewji Blog23 Sep
Watumiaji wa programu za kompyuta waaswa kutumia program halisi —COSOTA
Afisa Mtendaji na Msimamizi wa Hakimiliki (COSOTA), Dorine Sinare akizungumza na baadhi ya wadau wa proramu mbalimbali za Komputa jijini Dar es Salaam jana.
Afisa Masoko Madogo na Uhusiano Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika, Robin Njiru akielezea juu ya huduma zinazotolewa na kampuni ya Microsoft na koprogram mbalimbali za kompyuta jijini Dar es Salaam.
Afisa Mtendaji na Msimamizi wa Hakimiliki (Cosota), Dorine Sinare akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa Program za Kompyuta...
5 years ago
Ykileo![](https://2.bp.blogspot.com/-qZewHoDogto/WfaXxilvBRI/AAAAAAAACFo/WH_t6V8dr18Fqy17ROa77WlFUKo1zzoJgCLcBGAs/s72-c/IMG-20171027-WA0008.jpg)
IDADI KUBWA YA PROGRAM TUMISHI ZIMEENDELEA KUIBA TAARIFA ZA WATUMIAJI
![](https://2.bp.blogspot.com/-qZewHoDogto/WfaXxilvBRI/AAAAAAAACFo/WH_t6V8dr18Fqy17ROa77WlFUKo1zzoJgCLcBGAs/s200/IMG-20171027-WA0008.jpg)
Viwanda na Taasisi mbali mbali zimeendelea kutumia TEHAMA ili kukuza ufanisi na kufikia watu wengi kwa kipindi kifupi. Miamala ya kifedha, ukusanyaji kodi, pamoja na mawasiliano ni baadhi tu ya mambo yanayo wezeshwa na TEHAMA nchini.
Usalama wa mifumo ya TEHAMA ni moja ya jambo muhimu sana ambapo...
9 years ago
StarTV17 Dec
Nape aonya vyombo vya habari kutumia muziki ya wasanii bila idhini ya COSOTA
Serikali imetoa tamko kwa vyombo vyote vya habari nchini kuanzia january mosi mwakani kutokutumia muziki wa aina yeyote ule wa ndani au nje bila kibali kutoka Cosota.
Wakitoa tamko hilo kwa pamoja waziri wa habari michezo na utamaduni Nape Nnauye na waziri wa viwanda na biashara Charles Mwijage wamewataka wamiliki wa vyombo vya habari kutoa ushirikiano.
Nape amesema atalisimamia zoezi hilo na kutoa tahadhari kwa chombo chochote cha habari kitachokiuka tamko hilo hatakionea haya kukifungia...
9 years ago
StarTV17 Dec
Nape aonya vyombo vya habari kutumia miziki ya wasanii bila idhini ya COSOTA
Serikali imetoa tamko kwa vyombo vyote vya habari nchini kuanzia january mosi mwakani kutokutumia miziki ya aina yeyote ule wa ndani au nje bila kibali kutoka Cosota.
Wakitoa tamko hilo kwa pamoja waziri wa habari michezo na utamaduni Nape Nnauye na waziri wa viwanda na biashara Charles Mwijage wamewataka wamiliki wa vyombo vya habari kutoa ushirikiano.
Nape amesema atalisimamia zoezi hilo na kutoa tahadhari kwa chombo chochote cha habari kitachokiuka tamko hilo hatakionea haya kukifungia...
10 years ago
GPL30 Sep
11 years ago
Tanzania Daima29 Jan
Vijana waaswa kutumia michezo
VIJANA mkoani Arusha, wameshauriwa kutumia michezo kama sehemu muhimu ya kukuza uhusiano na vipaji walivyonavyo ili kujiepusha na mambo yanayoharibu sifa na haiba zao katika jamii. Ushauri huo umetolewa na...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-a0Vvq0GZeAI/VCqBIAPFB1I/AAAAAAACr3U/hvRkCZCp9HA/s72-c/5.jpg)
PROGRAMU MPYA YA KUJIFUNZA SOMO LA HISABATI KWA KUTUMIA SIMU ZA MIKONONI YAZINDULIWA JIJINI DAR LEO
![](http://4.bp.blogspot.com/-a0Vvq0GZeAI/VCqBIAPFB1I/AAAAAAACr3U/hvRkCZCp9HA/s1600/5.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-62UVv7pT3T4/VCqBIBriSFI/AAAAAAACr3M/3VUU-TOyvNU/s1600/6.jpg)
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10