COSTECH YAHITIMISHA MRADI WA PICTURE AFRICA MKOANI NJOMBE

Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia(COSTECH) imehitimisha rasmi Mradi wa Picture Afrika,tukio lililofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Mjini NjombeKaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia(COSTECH) Dkt Dugushilu Mafunda akizungumza wakati wa kutamatisha Mradi wa Picyure Afrika.Pamoja naye ni Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mh Dkt Rehema Nchimbi(wa pili kulia),Mkuu wa Wilaya ya Njombe,Mh Sara Dumba(wa kwanza kushoto) pamoja na Mwakilishi wa Katibu Tawala...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO YAKAGUA MAENDELEO YA MRADI WA CHUMA LIGANGA MKOANI NJOMBE
.jpg)
10 years ago
Vijimambo
MAGUFULI ALIVYOPOKELEWA NDANI YA WILAYA YA NJOMBE MKOANI NJOMBE.



5 years ago
Digital Information World22 Mar
Google Will Let Users Resize Picture-In-Picture Window With Android 11 Update
10 years ago
BBC
What a viral picture tells us about child poverty in Africa
10 years ago
Michuzi
COSTECH in Partnership with US Embassy Dar es Salaam award winners of the Powering Africa Research Paper Competition
This is one of the measures towards realizing Power Africa initiative, the programme that was announced in 2013 by President of the US, Mr. Barrack Obama when he visited Tanzania.
Jury Chairperson of...
10 years ago
VijimamboMAGUFULI ATINGA MKOANI NJOMBE LEO
5 years ago
Michuzi
Radi yaua mwanafunzi mkoani Njombe

Wanafunzi 16 na mwalimu mmoja wa shule ya sekondari Chief Kidulile iliyopo wilayani Ludewa mkoani Njombe wamepigwa radi februari 19 majira ya saa tisa alasiri na kusababisha kifo cha mwanafunzi mmoja na kuacha majeruhi 16.
Akifafanua kuhusu tukio hilo kwa njia ya simu, Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe Hamis Issa akiwa mkoani Morogoro kikazi amesema amepokea taarifa za tukio hilo kutoka kwa vijana wake aliowatuma ambapo amesema katika tukio hilo mwanafunzi mmoja wa...
5 years ago
Michuzi
Mkandarasi amchefua waziri Mbalawa mkoani Njombe

Waziri wa maji Prof.Makame Mbalawa ameagiza kuwekwa kizuizini msimamizi wa ujenzi wa mradi wa maji wa Igando Kijombe unaotekelezwa na kampuni ya STC JV YELL LMT wilayani Wanging'ombe mkoani Njombe Erick Mlema kwa kushindwa kukamilisha mradi kwa wakati.
Waziri Mbalawa amesema mpaka sasa mradi umefikia asilimia 17 pekee huku wananchi wakilalamikia kero ya upatikanaji wa maji wilayani humo.
Mradi wa Igando- kijombe unatajwa kugharimu takribani billioni 12 na ulianza...
10 years ago
Michuzi.jpg)
Ziara ya naibu waziri maji mkoani Njombe
Mradi wa Njenga utagharimu kiasi cha sh. 3.5 bilioni na tayari umeshagharimu sh 2.2 bilioni na utakamilika mapema machi mwaka huu na kuongeza upataikanaji maji kutoka asilimia 43 hadi...