COUTINHO AWAPA RAHA YANGA, KOMBE LA MAPINDUZI
Andrey Coutinho akishangilia na wenzake baada ya kufunga dakika ya 86 kipindi cha pili. BAO pekee la Mbrazil, Andrey Coutinho limeipa Yanga ushindi wa 1-0 dhidi ya Shaba katika mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Coutinho alifunga bao hilo dakika ya 86 kwa shuti kali akimaliziana krosi ya beki wa kulia, Juma Abdul. Yanga SC inamaliza kwa ushindi wa asilimia 100,...
GPL
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania