CRDB yatenga bilioni moja za kuchangia huduma za jamii nchini
Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Dkt, Charles Kimei.
Na Nathaniel Limu, Iramba
BENKI ya CRDB imetenga kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni moja katika bajeti yake mwaka huu kwa ajili ya kuchangia katika shughuli mbalimbali za uboreshaji wa huduma za kijamii nchini.
Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Dkt, Charles Kimei amesema hayo kwenye hafla ya kukabidhi visima kwa shule tatu za msingi na sekondari mkoani Singida vilivyofadhiliwa na benki hiyo.
Dkt. Kimei amesema fedha zilizotumika kwa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-pPhQ23H-Qu0/VIBgsCtUVZI/AAAAAAACv40/piaxz0ZVTpI/s72-c/01.jpg)
Saudia yaipatia Serikali ya Tanzania zaidi ya Sh. bilioni 45 kuboresha huduma za jamii nchini.
![](http://2.bp.blogspot.com/-pPhQ23H-Qu0/VIBgsCtUVZI/AAAAAAACv40/piaxz0ZVTpI/s1600/01.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-EiSnWBWqEwM/VIBgrzFI0xI/AAAAAAACv4w/EFYPJG8KuO8/s1600/02.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-VF2_W9sMg6Y/VT5WuRtbvrI/AAAAAAAHTo4/D7Udfc2j7YA/s72-c/IMG_9927.jpg)
NMB YAPATA TUZO KWA KUCHANGIA ZAIDI HUDUMA ZA JAMII
Ushindi huo umetokana na utafiti uliofanywa na Taasisi ya utafiti wa huduma za maendeleo ya jamii - Research Centre for Social Development Services kwa kushirikiana na kampuni mwenza ya konsalt limited imetoa tuzo hiyo kwa NMB baada ya kujiridhisha kuwa ndiyo benki inayoongoza kwa kusaidia...
10 years ago
Habarileo26 May
Zanzibar yatenga bilioni 16/- kuimarisha demokrasia
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema imetenga jumla ya Sh bilioni 16 kwa ajili ya kuimarisha shughuli za kidemokrasia ikiwemo kuiwezesha Tume ya Uchaguzi (ZEC) kuendesha Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu.
10 years ago
Dewji Blog22 May
Tigo yatenga Shilingi bilioni 12.6 kuunganisha kanda ya Ziwa
Meneja mkuu wa kampuni ya Tigo, Diego Gutierez akifafanua jambo alipozungumza na wahariri wa kanda ya Ziwa jana kuhusiana na jinsi ambavyo Tigo imejipanga kuwekeza zaidi ya Sh2.6 bilioni katika kanda ya ziwa kwa mawaka huu.
Kampuni ya simu nza mkononi ya imetenga jumla ya shilingi bilioni 2.6 kwa ajili ya kuwekeza katika ujenzi wa minara mipya na kuboresha utoaji hudumakwa mikoa ya kanda ya ziwa kwa mwaka 2015.
Akiongea na waandishi wa Habari wa mkoa wa Mwanza leo, Meneja mkuu wa kampuni...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-EniQgsmsXDE/Xun6jPl3hII/AAAAAAAEH2o/_hkrVfx21CQJpVXTi9u9BUVbpxT5l3-6wCLcBGAsYHQ/s72-c/EXEC-PIX-1.jpg)
Faidika yatenga Sh 40 Bilioni kwa ajili ya kukopesha Watanzania
Dar es Salaam. Taasisi ya huduma za kibenki ya Faidika imetenga zaidi ya Sh 40 bilioni kwa ajili ya kuwakopesha watanzania wenye ajira kupitia programu ya ‘Mshahara wako, mkopo wako,’
Mkurugenzi Mkuu wa Faidika , Bw. Baraka Munisi alisema kuwa mikopo hiyo inatolewa ndani ya saa 24 endapo mkopaji atatimiza masharti yaliyowekwa.
Bw. Munisi alisema kuwa wameamua kutenga kiasi hicho cha fedha kwa ajili ya kuboresha maisha ya Watanzania...
11 years ago
Tanzania Daima07 Jan
SUMATRA yatenga mil. 50/- kuisaidia jamii
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA), ndani ya mwaka huu imetenga sh milioni 50 kusaidia mahitaji mbalimbali ya kijamii. Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo, Ahmed...
10 years ago
Dewji Blog23 Feb
Marie Stopes Tanzania yatenga Bilioni 37.2 kushughulikia miradi ya uzazi mikoa ya minne
Kaimu Mkurugenzi wa Marie Stopes Tanzania, Mwemezi Ngemera akizungumza na wakazi wa Ilongero kuhusu huduma za Mkoba za Uzazi wa Mpango.
Na Nathaniel Limu, Singida
SHIRIKA lisilo la kiserikali la Marie Stopes Tanzania (MST) linatarajia kutumia zaidi ya shilingi 37.2 bilioni (Pounds 14 milioni), kugharamia mradi wa uzazi wa mpango wa uzazi wa mpango na elimu ya afya ya uzazi kwa vijana utakaotekelezwa kwa kipindi cha miaka mine kuanzia sasa katika mikoa ya Singida, Kilimanjaro, Manyara na...
10 years ago
Dewji Blog23 Feb
Marie Stopes Tanzania yatenga Bilioni 37.2 kushughulikia miradi uzazi mikoa ya minne
Kaimu Mkurugenzi wa Marie Stopes Tanzania, Mwemezi Ngemera akizungumza na wakazi wa Ilongero kuhusu huduma za Mkoba za Uzazi wa Mpango.
Na Nathaniel Limu, Singida
SHIRIKA lisilo la kiserikali la Marie Stopes Tanzania (MST) linatarajia kutumia zaidi ya shilingi 37.2 bilioni (Pounds 14 milioni), kugharamia mradi wa uzazi wa mpango wa uzazi wa mpango na elimu ya afya ya uzazi kwa vijana utakaotekelezwa kwa kipindi cha miaka mine kuanzia sasa katika mikoa ya Singida, Kilimanjaro, Manyara na...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-P0NcZRObUHY/VCVPfZeGGnI/AAAAAAAGl8Y/s2An1x5GIjw/s72-c/unnamed%2B(28).jpg)
Utalii wa Wanyamapori na Maendeleo ya Jamii: Mambo yenye uhusiano wa asili na wa moja kwa moja
![](http://2.bp.blogspot.com/-P0NcZRObUHY/VCVPfZeGGnI/AAAAAAAGl8Y/s2An1x5GIjw/s1600/unnamed%2B(28).jpg)
Mark ChildressSiku ya Kimataifa ya Utalii ambayo huadhimishwa tarehe 27 Septemba inatupa fursa ya kutafakari manufaa na matokeo ya jitihada za uhifadhi wa wanyama pori na utalii kwa jamii zinazozunguka maeneo ambapo shughuli hizi zinafanyika na kwa Tanzania kwa ujumla. Kwa watu wengi duniani kote, kutembelea Tanzania ni jambo la kipekee na la kihistoria katika maisha yao. Kwa Tanzania ziara za watalii hao ni chanzo cha mapato na kichocheo cha uchumi,...