Crimea kuugubika mkutano wa G7
Viongozi wa G7 wanatarajiwa kujadili hatua ya Urusi kulinyakua eneo la Crimea.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili16 Mar
Crimea yapiga kura kuamua
Watu wa Crimea waarifiwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura ya maoni kuamua ikiwa wanataka kubaki Ukraine au wajiunge na Urusi
11 years ago
BBCSwahili27 Mar
Suluhu kwa mzozo wa Crimea.
Obama ameitaka Urusi kujua kwamba haitapata usalama na maendeleo kupitia njia ya dhulma baada ya kunyakua jimbo la Crimea.
11 years ago
BBCSwahili03 Mar
Urusi yaimarisha majeshi Crimea
Urusi imeendelea kuimarisha majeshi yake ndani ya jimbo la Crimea linalomilikiwa na UKraine licha ya shinikizo za kidiplomasia dhidi ya kitendo hicho
10 years ago
BBCSwahili23 Aug
UEFA:Hatutambui mechi za Crimea
Shirikisho la soka barani ulaya UEFA limesema halitatambua matokeo yoyote ya mechi itakayochezwa na kilabu ya kandanda ya Crimea
11 years ago
TheCitizen27 Mar
Crimea: West should look at the facts with a clearer mind
President Vladimir Putin’s speech to both houses of the Russia parliament last week got bad notices.
11 years ago
BBCSwahili28 Mar
Kura ya maoni kuhusu Crimea si halali
Umoja wa mataifa umetangaza hatua ya Urusi kuandaa kura ya maoni kuhusu eneo la Crimea ni haramu, unaunga mkono uhuru wa Ukraine.
11 years ago
BBCSwahili06 Mar
11 years ago
BBCSwahili28 Feb
Viwanja vya ndege vyadhibitiwa Crimea
Ukraine imeishutumu Urusi kwa kudhibiti viwanja vyake vya ndege katika jimbo la Crimea
11 years ago
BBCSwahili09 May
Rais Vladimir Putin azuru Crimea
Rais wa Urusi Vladmir Putin amewasili Sevastopol katika jimbo la Crimea lililojitenga majuzi kutoka Ukraine na kusisitiza kuwa ni jambo la kujivunia na la uzalendo kulinda hadhi ya taifa .
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania