Cuba yatafuta mwafaka na Marekani
Cuba ina matumaini ya kurejesha uhusiano na Marekani baada ya kuwekewa vikwazo
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili12 Jul
Marekani yatafuta mwafaka Afghanistan
Waziri wa maswala ya kigeni nchini Marekani John Kerry anaanza awamu ya pili ya mazungumzo nchini Afghanistan.
11 years ago
BBCSwahili31 Mar
Hakuna mwafaka kati ya Marekani ,Urusi.
Waziri wa maswala ya kigeni wa Marekani John Kerry asema hawakukubaliana na mwenzake wa urusi Sergei Lavrov kuhusiana na Ukraine
9 years ago
BBCSwahili19 Sep
Marekani yailegezea Cuba vikwazo
Rais wa Marekani Barack Obama amezungumza na rais wa Cuba Raul Castro muda mfupi baada ya marekani kulegeza vikwazo
10 years ago
BBCSwahili09 Jan
Marekani na Cuba kuimarisha uhusiano
Msaidizi wa waziri wa mambo ya nje wa Marekani,Roberta Jacobson,ataongoza msafara kutoka nchini mwake kuelekea Havana Cuba.
10 years ago
BBCSwahili29 Jan
Cuba kuondolewa vikwazo na Marekani?
Rais wa Cuba, Raul Castro, amemhimiza rais Obama wa Marekani kutumia mamlaka yake ya urais kuondoa vikwazo vya kiuchumi
10 years ago
BBCSwahili18 Dec
Cuba na Marekani kuivunja historia?
Marekani na Cuba zimetangaza kukomesha uhasama wa miaka hamsini na kufungua mwanya wa mazungumzo ya kidiplomasia.
9 years ago
BBCSwahili25 Sep
Rais wa Cuba ziarani Marekani
Rais wa Cuba amewasili mjini New York, ikiwa ni mara ya kwanza kuwasili nchini Marekani katika kipindi cha miaka 15 iliyopita.
9 years ago
BBCSwahili14 Aug
Ubalozi wa marekani wafunguliwa Cuba
Sherehe za ufunguzi wa ubalozi wa Marekani huko Cuba zimefanyika mjini Havana baada ya kuvunjika uhusiano yapata miaka 50 iliyopita
10 years ago
BBCSwahili10 Apr
Marekani yafanya mazungumzo na Cuba
Mkutano wa kimataifa unaowaleta pamoja mawaziri wa mashauri ya nchi za kigeni wa Marekani na Cuba, unafanyika leo Panama.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania