Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CWT yawazawadia walimu wastaafu

CHAMA cha Walimu (CWT) manispaa ya Morogoro kimeanzisha utaratibu mpya wa kuwazawadia walimu wake wastaafu samani mbalimbali kama shukrani ya utendaji wao wa kazi kwa miaka waliotumikia. Akikabidhi zawadi ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Walimu wanaoipinga CWT kuandamana

KAMATI ya Kitaifa ya wanachama wa chama cha walimu ya kudai mabadiliko ndani ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT), ina mpango wa kuandamana na kutoa tamko zito, kuhusiana na mwenendo uliopo kwa viongozi wa CWT.

 

11 years ago

Habarileo

Walimu Nzega wajitoa CWT

WALIMU wa shule za msingi na sekondari wilayani Nzega mkoani Tabora wamesema wamejitoa katika Chama cha Walimu Tanzania (CWT), kwa kuwa hakina faida kwao.

 

10 years ago

Michuzi

CWT WAADHIMISHA SIKU YA WALIMU DUNIANI

Mratibu wa Uhakiki wa Ubora wa Elimu kutoka Shirika la Kijamii la Masuala ya Elimu (Haki Elimu), Robert Mihayo akitoa mada kuhusu Ubora wa Elimu Tanzania wakati wa semina ya maadhimisho ya Siku ya Walimu Duniani iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Semina hiyo iliandaliwa na TEN/MET kwa kushirikiana na Chama Cha Walimu Tanzania (CWT).
Ofisa Mradi wa TEN/MET, Alistidia Kamugisha (kulia), Meneja wa Fedha na Utawala (TEN/MET), Beatrice Malya (katikati) na Mratibu wa TEN/MET, Cathleene Sekwao. 

 

9 years ago

Mwananchi

CWT yaitega Serikali madai ya walimu

Chama cha Walimu Tanzania (CWT), kimeitaka Serikali kutekeleza madai ya ahadi za walimu kama walivyokubaliana na chama hicho.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CWT: Serikali itatue kero za walimu

CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) Manispaa ya Morogoro kimeitaka serikali kuepusha migogoro kati yake na walimu. Rai hiyo imetolewa na Katibu wa CWT, Maswi Munada alipomkaribisha Mkurugenzi wa Manispaa, Jorvis...

 

10 years ago

Habarileo

CWT yaitaka serikali ilipe madeni ya walimu

CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) kimeitaka Serikali kutekeleza ahadi ya kulipa madeni ya fedha za walimu ambayo yamewasilishwa serikalini ili kuepusha kutokea msuguano katika kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba mwaka huu.

 

10 years ago

Habarileo

Walimu wastaafu kufunda wakulima

WALIMU wastaafu katika Halmashauri sita katika mikoa ya Shinyanga , Geita na Simiyu wameshauriwa kutoa elimu bora kwa wakulima wa mpunga juu ya matumizi bora ya ardhi sambamba na elimu ya watu wazima ili kuleta tija katika kilimo.

 

5 years ago

Michuzi

CWT SINGIDA VIJIJINI: BAADHI YA MAKATIBU WA CHAMA CHA WALIMU NI MZIGO


Mwenyekiti Mpya wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Wilaya ya Singida Vijijini, Joselen Kato Samwel, akizungumza na wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho baada ya kutangazwa mshindi.
Msimamizi wa uchaguzi huo, Katibu wa CWT, Manispaa ya Singida, Jones Madale (katikati), akitangaza washindi.
Mwenyekiti wa Chama cha Walimu (CWT ) Wilaya ya Singida Vijijini, Kitengo (KE), Jaha Mwemkala, akizungumza na wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi hiyo.
Baadhi...

 

10 years ago

Dewji Blog

CWT Singida yapinga rasimu ya Wizara ya kazi na ajira juu ya kuimarisha Mifuko ya Hifadhi za Jamii na kuboresha Viwango vya Mafao ya Pensheni kwa Wastaafu

jumbe

Mwenyekiti wa CWT Mkoa wa Singida Aran Jumbe, akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi za chama hicho kuhusiana na tamko la chama juu ya kupinga rasimu ya Wizara ya kazi na ajira juu ya kuimarisha Mifuko ya Hifadhi za Jamii na kuboresha Viwango vya Mafao ya Pensheni kwa Wastaafu.

Na Hillary Shoo, SINGIDA.

Chama cha Walimu CWT  kimetoa tamko la kupinga  rasimu ya Wizara ya kazi na ajira juu ya kuimarisha Mifuko ya Hifadhi ya Jamii na kuboresha Viwango vya Mafao ya Pensheni kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani