Damu changa zinahitajika netiboli
NI Jumatatu nyingine tena tunakutana wadau wa Uwanja wa Kuchonga. Kama kawaida, lengo letu likiwa ni lilelile, kupeana changamoto za kispoti ili kuchochea ufanisi katika sekta hii muhimu katika jamii....
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
Wastara: Nimeamua Kumpa Bond Nafasi ya Kunioa, Mimi Bado Damu Changa Nikisema Siwezi Kuolewa Tena Najidanganya..Nimempa Bond Sharti Hili...

Wastara na Bond MapenziniBrighton Masalu
WASTARA Juma Issa Abeid amekiri kuzidiwa na hisia za kuwa na mwenza kutokana na ukweli kwamba damu yake bado changa, hivyo suala la kuolewa halikwepeki huku akimpa nafasi kubwa msanii mwenzake, Bond Bin Sinan endapo atakidhi vigezo na masharti.Akifungulia ‘koki’ ya maneno mbele ya paparazi wetu kwa njia ya simu mwanzoni mwa wiki hii, Wastara ambaye kwa sasa yuko bize kusaka ubunge nyumbani kwao Morogoro Vijijini, alisema hawezi kudanganya kwamba...
11 years ago
Dewji Blog12 Jun
Wafanyakazi wa Benki ya Barclays wajitolea Damu kuadhimisha siku ya Damu Duniani
Mfanyakazi wa Benki ya Barclays Tanzania, Agnes Mushi akijitolea damu ikiwa ni sehemu ya matukio ya benki hiyo kuadhimisha Siku ya Damu Duniani inayotarajiwa kuadhimishwa kesho. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana. Anayemtoa ni Mtaalamu wa kutoa damu kutoka kitengo cha Damu Salama, Judith Goshashy.
Wafanyakazi wa Benki ya Barclays Tanzania, Marcy Mwakajwanga na Kassim Kanyamara (kulia) wakijitolea damu ikiwa ni sehemu ya matukio ya benki hiyo kuadhimisha Siku ya Damu Duniani...
11 years ago
GPLMPANGO WA TAIFA WA DAMU SALAMA -TANZANIA CHANGIA DAMU OKOA MAISHA
5 years ago
Michuzi
AZAM FC, TFF KUADHIMISHA SIKU YA UTOAJI DAMU DUNIANI KWA KUCHANGIA DAMU

Zoezi hilo la uchangiaji damu linatarajiwa kufanyika nje ya Uwanja wa Azam Complex kuanzia majira ya saa 6 mchana.
Juni 14, Azam itakuwa ikicheza mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) dhidi ya Mbao saa 1.00 usiku na kuhusisha watu wa aina mbalimbali.
Zoezi hilo la uchangiaji damu na kudumisha shirikiano huo...
11 years ago
GPL
BENKI YA EXIM YACHANGIA DAMU KUADHIMISHA SIKU YA UCHANGIAJI DAMU DUNIANI JUNI 14, 2014
11 years ago
GPL
OYA MASELA BINADAMU DAMU, BILA DAMU SANAMU!
10 years ago
Michuzi
BENKI YA EXIM YACHANGIA DAMU KUADHIMISHA SIKU YA KUCHANGIA DAMU DUNIANI. DAR ES SALAAM: JUNE 14, 2015


11 years ago
Michuzi.jpg)
9 years ago
Bongo506 Jan
Music: Spince Seseme Ft Sheta – Damu Damu

Msanii Spince Seseme ameachia wimbo mpya unaitwa “Damu Damu” amemshirikisha Sheta, Producer Zest.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!