Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DAR ES SALAAM INAZIDI KUWA TAMUUU....


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

uhaba wa maji ya uhakika dar es salaam kuwa historia karibuni

Tatizo la muda mrefu la uhaba wa maji ya uhakika linalowakabili wakaazi wa mkoa wa Dar es Salaam na mikoa mengine inayohudumiwa na mitambo ya maji ya Ruvu Juu na Ruvu Chini sasa litakuwa historia...  Mafundi wakiendelea kulaza mabomba yatakayotumika kusafirishia maji kutoka Mitambo ya Maji ya Ruvu Chini mpaka kwenye Tanki la kuhifadhia maji lililopo Chuo Kikuu cha Ardhi jijini Dar es Salaam. Mpaka sasa mafundi hao wameshasambaza mabomba kwa umbali wa kilomita takribani 29 kati ya...

 

9 years ago

Michuzi

Zoezi la Usafi wa Mazingira Kuwa Endelevu Jijini Dar es Salaam

Na Lilian Lundo-MAELEZO
Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam, Mhe. Said Meck Sadiki amesema zoezi la usafi wa mazingira litakalofanyika siku ya Maadhimisho ya Uhuru wa Tanzania Bara tarehe 9 Desemba, litakuwa ni endelevu kwa mkoa wa Dar es Salaam hata baada ya kumalizika kwa maadhimisho hayo.

Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Tano. Mhe. Dkt John Pombe Joseph Magufuli aliagiza kuwa Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Tanzania Bara mwaka huu yatumike kwa kufanya usafi wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

41 Waapishwa kuwa Manaibu Wasajili wa Mahakama ya Tanzania Jijini Dar Es Salaam

Mahakama -1

Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Shaaban Ali Lila akimwapisha Mhe. Lenatus Ishengoma (kulia) kuwa Naibu Msajili wa Mahakama ya Tanzania jana jijini Dar es salaam. Wanaoshuhudia kiapo hicho ni Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Othman Chande (kushoto) na Mhe. John Kahyoza, Msajili Mahakama Kuu ya Tanzania.

Mahakama-2

Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Shaaban Ali Lila akimkabidhi Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwongozo wa utendaji kazi wa Mahakama Mhe. Zahara...

 

10 years ago

GPL

43 WAAPISHWA KUWA MANAIBU WASAJILI WA MAHAKAMA YA TANZANIA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Shaaban Ali Lila akimwapisha Mhe. Lenatus Ishengoma (kulia) kuwa Naibu Msajili wa Mahakama ya Tanzania leo jijini Dar es salaam. Wanaoshuhudia kiapo hicho ni Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Othman Chande (kushoto) na Mhe. John Kahyoza, Msajili Mahakama Kuu ya Tanzania.  …

 

11 years ago

Dewji Blog

Dar Es Salaam kuwa kivutio kikubwa cha wawekezaji na utalii miaka michache ijayo

2

Pichani ni Jengo litakalojengwa jijini Dar es salaam na litagharimu Dola za kimarekani milioni 77,kutakuwa na hoteli ya hadhi ya Nyota Tano, Ofisi za Biashara, kutakuwa na Sehemu ya kuegesha magari, jengo hili litatakuwa kivutio kwa Wawekezaji na Utalii.(23 Juni 2014).

3

Baadhi Malori na Vifaa vingine vya kutendea kazi vikiwa tayari kuahiria ujenzi huu unaanza mara moja baada ya zoezi la uwekaji wa jiwe la msingi kukamilika.

1

Mama Maria Nyerere akiwasili kwenye sherehe ya uwekaji jiwe la...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AMUAPISHA IDD HASSAN KAMANTA KUWA MKUU WA MKOA WA ARUSHA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Idd Hassan Kamanta kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Juni 2020. 
IKULU, Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 22 Juni, 2020 amemuapisha Bw. Idd Hassan Kimanta kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

Hafla ya uapisho huo imefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam ambapo pia Mhe. Rais Magufuli na...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA IDD HASSAN KIMANTA KUWA MKUU WA MKOA WA ARUSHA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Idd Hassan  Kimanta kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Juni 2020.Mkuu wa Mkoa wa Arusha Idd Hassan Kimanta akila kiapo Ikulu jijini Dar es Salaam.Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata Ole Sanare...

 

9 years ago

Michuzi

MHANDISI RONALD LWAKATARE ATEULIWA KUWA KAIMU MTENDAJI MKUU WA WAKALA WA MABASI YAENDAYO HARAKA DAR ES SALAAM (DART).

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA - TAMISEMITAARIFA KWA UMMAWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. George Boniface Simbachawene (Mb) kwa Mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu cha 2(2) cha Amri ya kuanzisha Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), (The Executive Agencies) (The Dar Rapid Transit Agency) (Establishment) Order ) Tangazo la Serikali namba 120 la 2007, amemteua Mhandisi Ronald Lwakatare kuwa...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AMUAPISHA GERALD MUSABILA KUSAYA KUWA KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Rais Dk. John Magufuli akimuapisha Gerald Musabila Kusaya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Machi 6, 2020.Picha na Ikulu








IKULU, Dar es Salaam
Rais Dk. John Magufuli, amemuapisha Gerald Musabila Kusaya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo katika iliyofanyika leo Ikulu Jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwemo Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Katibu Mkuu, Viongozi Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani