DAR SASA INATISHA SALUNI YA NGONO YAFUMULIWA
![](http://api.ning.com:80/files/eHhH0wF8G5D29fgFL*lr4iZpSsQdUfCHSCFKghE*8bXgy9ASOoIM0G3-cRG1vc7vWN0H8Sb1evRvmQrPEAcpa9NlJ0GdLea8/frontjumamosi.jpg)
Stori: Waandishi wetu/Risasi HALI ni mbaya! Wakati suala la ajira likiwa bado ni kitendawili kikubwa kwa serikali, Jiji la Dar hivi sasa linatisha, baada ya watu kubuni mtindo mpya wa kujipatia fedha kwa kujihusisha na biashara haramu ya ngono katika maeneo yanayotambulika kufanya shughuli nyingine halali, Risasi Jumamosi lina mkanda mzima. Mhudumu wa saluni ya kuchua akitweta mara baada ya kunaswa na OFM akijihusisha na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi23 Feb
Kuanzia sasa unyonge basi. Inatisha!
9 years ago
Global Publishers07 Jan
Bomoa bomoa mahekalu Dar, ripoti inatisha
Tingatinga likiendelea na kazi ya ubomoaji.
HALI tete! Kufuatia Mahakama ya Ardhi, Dar kutengua bomoabomoa ya nyumba 674, bado ripoti inatisha kwa zile nyumba ambazo mahakama haikuzitambua na zile ambazo zilishabomolewa mwishoni mwa mwaka jana.
Moja ya mjengo wa ukibomolewa.
Uchunguzi wa gazeti hili umebaini kuwa wengi waliokimbilia mahakamani, walikuwa wakisukumwa na baadhi ya vigogo wenye mahekalu yao maeneo ya Mbezi, Dar ambao walikuwa wanashindwa kujitokeza mstari wa mbele kwa kuhofia...
11 years ago
Tanzania Daima15 Jul
Tazara yafumuliwa
SHIRIKA la Reli la Tanzania na Zambia (Tazara), limefanyiwa mabadiliko makubwa ya kiutendaji ikiwa ni pamoja na kubadilishana abiria mpakani na kupunguza madaraka makao makuu kuyapeleka mikoani kwa lengo la...
10 years ago
Tanzania Daima11 Oct
Mikataba ya madini yafumuliwa
SERIKALI imefumua mikataba ya kampuni za uchimbaji madini hapa nchini kutokana na malalamiko ya wananchi kwamba hawafaidiki na mapato yatokanayo na mrahaba unaolipwa na wawekezaji hao. Akizungumza jijini Dar es...
10 years ago
GPL14 Feb
10 years ago
Dewji Blog01 Sep
Utafiti waibua makubwa ngono za utotoni Dar
Mratibu wa mradi wa PREPARE ambaye pia ni Mwanasaikolojia wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi cha Muhimbili, Kitengo cha magonjwa na afya ya akili, Lusajo Kajula (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukamilisha SAMPULI tathmini ya matokeo ya mradi wa PREPARE uliokuwa na lengo la kuangalia uwezekano wa vijana kupunguza ngono mwishoni mwa wiki kwenye kituo cha maelezo ya afya Muhimbili katika idara ya magonjwa ya akili. Kulia ni Mtathmini kiongozi wa mradi huo, Mrema...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/08/DSC_01401.jpg)
UTAFITI WAIBUA MAKUBWA NGONO ZA UTOTONI DAR
10 years ago
Michuzi01 Sep
UTAFITI WAIBUA MAKUBWA NGONO ZA UTOTONI JIJINI DAR
![DSC_0140](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/08/DSC_01401.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-d5dKFz9tmgU/UwJcx3bKXOI/AAAAAAAFNsI/vLn5T7MdyTc/s72-c/6bcb705697d2917704af194444f5907a.jpg)