Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


saluni yetu


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WATANZANIA TUTAMBUE AMANI YETU NI FAHARI YETU.

 Msajili wa Vyama vya  Siasa Jaji Francis Mutungi  akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya   utofauti wa itikadi wa vyama ndiyo ukomavu wa demokrasia nchini hivyo ni jambo la busara kuvumiliana na kufanya siasa za kistaarabu, ameyasema hayo wakati  wa  kikao hicho kimefanyika leo jijini Dar es Salaam kulia ni Balozi wa Amani Mrisho Mpoto na kushoto ni Balozi wa Amani Christina Shusho. Balozi wa Amani Mrisho Mpoto akifafanua jambo katika kikao hicho leo jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Habarileo

Bunge Maalum lafananishwa na saluni

KAULI na mipasho iliyotolewa na baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, imesababisha Bunge hilo kufananishwa na saluni ya kusukia nywele. Msaidizi wa Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Fredrick Shoo, alisema hayo jana wakati akitoa salamu za Pasaka kwa waumini wa kanisa hilo, katika ibada iliyofanyika katika usharika wa Moshi mjini.

 

10 years ago

GPL

MSUSI WA SALUNI AFIA GESTI!

Stori: Mwandishi Wetu, Tabora Kifo hakina huruma! Msusi wa saluni ya wanawake iitwayo HK iliyopo mjini hapa, aliyetambuliwa kwa jina moja la Ramadhan almaarufu Rama anadaiwa kufia katika nyumba ya kulala wageni (gesti) na kuibua utata mkubwa, kwani alikwenda kulala akiwa fiti kabisa hivyo polisi kupewa kazi ya kuchunguza kubaini kilichomuua. Mwili wa Ramadhan ukipakizwa kwenye gari la polisi. Kwa mujibu wa mashuhuda wetu, tukio...

 

10 years ago

GPL

MKE ACHINJWA KISA KWENDA SALUNI

Stori: Dege Masoli, Tanga HII ni zaidi ya ukatili! Jiji la Tanga bado linazizima kufuatia mauaji ya kutisha yanayodaiwa kufanywa na mwanaume aitwaye Khalfan  Hamad (46), dhidi ya mkewe, Mary Lucas (20) kwa kumchinja na panga kisa kikidaiwa ni wivu wa mapenzi, Uwazi lina mkasa mzima. Enzi za uhai wake, Mary Lucas (20) anaedaiwa kuchinjwa na mumewe.
Tukio hilo lililoacha simulizi ya kushangaza miongoni mwa wanandoa na...

 

5 years ago

BBCSwahili

Ungependekeza kufungwa kwa saluni na vinyozi?

Australia imebadilisha uamuzi wa kuweka muda wa dakika 30 kwa saluni za kutengeza nywele kufuatia lalama nyingi zilizotolewa na wahusika

 

9 years ago

Dewji Blog

Msajili wa Vyama vya Siasa: Mrisho Mpoto na Christina Shusho kuwa mabalozi wa kubeba ujumbe wetu wa amani wa “AMANI YETU FAHARI YETU”

DSC_3048

Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi  (katikati) akizungumza na vyombo vya habari mapema leo Oktoba 12 juu ya kuhamasisha Amani pamoja na kuwatangaza rasmi wasanii Mrisho Mpoto (kulia)  na Christine Shusho (kushoto) kuwa mabalozi wa amani wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa  katika kipindi hiki cha Uchaguzi mkuu, huku wakibeba ujumbe wa  “AMANI YETU FAHARI YETU”. (Picha zote na Andrew Chale wa Modewjiblog).

DSC_3062

DSC_3072

DSC_3070

Picha tatu za Jaji Mutungi zikionyesha msisitizo wa suala la Amani...

 

10 years ago

GPL

DAR SASA INATISHA SALUNI YA NGONO YAFUMULIWA

Stori: Waandishi wetu/Risasi
HALI ni mbaya! Wakati suala la ajira likiwa bado ni kitendawili kikubwa kwa serikali, Jiji la Dar hivi sasa linatisha, baada ya watu kubuni mtindo mpya wa kujipatia fedha kwa kujihusisha na biashara haramu ya ngono katika maeneo yanayotambulika kufanya shughuli nyingine halali, Risasi Jumamosi lina mkanda mzima. Mhudumu wa saluni ya kuchua akitweta mara baada ya kunaswa na OFM akijihusisha na...

 

5 years ago

BBCSwahili

Kwanini saluni hii ina muonekano wa matatu?

Jengo la saluni ambalo ukiliona unaweza kudhani umepishana na daladala au gari la abiria nchini Kenya maarufu kama matatu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

KASSIM MOHAMED: Kinyozi anayepambana na saluni za kisasa

KUTOKANA na maendeleo ya sayansi na teknolojia, mambo mengi yamebadilika. Mojawapo ya mambo hayo ni kujiweka nadhifu, iwe kwa mwanamke au mwanamume kwa kutumia vipodozi vya kisasa. Zamani wanawake walikuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani