Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Darcoboa walalamikia Dart

MWENYEKITI wa Umoja wa Wamiliki wa Daladala jijini Dar es Salaam(DARCOBOA), Subri Mabrouk amelalamikia Wakala wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (Dart), kwa kuwaondoa katika mradi huo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

IPPmedia

Darcoboa, upcountry drivers strike.


IPPmedia
Darcoboa, upcountry drivers strike.
IPPmedia
The Dar es Salaam Commuter and upcountry bus drivers have threatened to strike today to pressure the government to change its new procedure of acquiring a driving licenses. The existing procedure should be retained because the proposed one is ...

 

11 years ago

TheCitizen

Let’s make Dart a success

Dar es Salaam residents are eagerly awaiting the launch of rapid bus transit services at the end of the year.

 

11 years ago

Mwananchi

DART yawaonya wafanyabiashara

Wakala wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), umewataka wafanyabiashara jijini hapa wanaotumia maeneo ya yaliyojengwa kwa ajili ya watembea kwa miguu na baiskeli kuondoka kabla ya hatua za kisheria hazijachukuliwa.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yaridhishwa na DART

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia ameridhishwa na tathmini ya Mkutano wa Mashauriano wa awamu ya kwanza wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), uliofanyika hivi karibuni.

 

10 years ago

TheCitizen

Dart project vandalised: RC

>The official handover of Morogoro Road will take longer than expected as some unscrupulous people have already started vandalising infrastructure.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wavuvi walalamikia polisi

WAVUVI wa Kisiwani Mazinga, Kata ya Mazinga wilayani Muleba, Kagera, wamelilamikia Jeshi la Polisi kwa kutoweka ulinzi wa kutosha katika Ziwa Victoria hali inayosababisha wavuvi hao kufanyiwa vitendo vya uhalifu...

 

11 years ago

Mwananchi

Mkomazi walalamikia kodi

Mtaalamu wa Wanyamapori katika Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi, Tony Fitzjohn, amesema kodi kubwa inayotozwa katika vifaa vinavyotolewa na wahisani, ni kikwazo kikubwa katika vita dhidi ya ujangili.

 

11 years ago

TheCitizen

Agency to pilot Dart project

The Dar es Salaam Rapid Transit (Dart) agency has revealed that some few buses will operate under the Dart system this year before the completion of the first phase of the project.

 

9 years ago

Habarileo

Nauli za DART zapigwa chini

SERIKALI imekataa viwango vya nauli mpya vilivyopendekezwa na Kampuni ya Uda Rapid Transit (UDA-RT), itakayotoa huduma ya usafiri wa mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam. Pamoja na kukataa imeweka bayana kuwa viwango hivyo viko juu ambavyo wananchi wengi watashindwa kuvimudu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani