DAVINA AKUNWA NA MHE. MKOSAMALI
![](http://api.ning.com:80/files/JHS5fnHuLYmRH0kiiAr2i*TOXxdK9WLlsZbE4Og2E5lYO07RwcZZ3GZ6KTzLZjozxIbeLiVn-PRncLOvCtTkpu9Z3tCqa5nO/davina1.jpg)
Na Hamida Hassan MSANII wa filamu, Halima Yahaya ‘Davina’ amekunwa na maneno ya Mheshimiwa Felix Mkosamali, Mbunge wa Muhambwe mkoani Kigoma aliyoyatoa juzi bungeni ya kutaka serikali iweke mikakati madhubuti ili kulinda haki za wasanii wa filamu nchini. Msanii wa filamu Bongo, Halima Yahaya ‘Davina’. Akizungumza na Ijumaa juzi Davina alisema, amejisikia faraja sana kuona kiongozi huyo anaumizwa na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies20 Apr
Davina Akanusha Habari “Davina Amchokonoa Wema” Adai ni Uchonganishi
Staa wa bongo movies, Halima Yahaya ‘Davina’ ameonyesha kushitushwa na habari zilizoripotiwa leo nagezeti moja la udaku limeripoti habari yenye kishwa cha habari “Davina Amchokokoa Wema” kitu ambacho Davina amedai ni uchanganishi kati yake na Staa mwenzake Wema Sepetu.
Gazeti hilo limedai kuwa Davina alisema kuwa anamshukuru Mungu kwa mawanae kutimiza miaka miwili kwani kuna watu wanatafuta watoto mpaka sasa hawajapata.
Davina aliyaongea hayo katika birthday ya mwanae iliyofanyika ...
11 years ago
TheCitizen13 Mar
Nothing personal, says Mkosamali
11 years ago
Tanzania Daima22 Jul
Mkosamali amlipua Mangula
MBUNGE wa Muhambwe mkoani hapa, Felix Mkosamali (NCCR Mageuzi), amemlipua Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Philip Mangula akidai kuwa ameondoka katika hoteli aliyofikia bila kulipa pango. Akihutubia mamia...
11 years ago
Tanzania Daima11 Jun
Mkosamali atibua Bunge
MBUNGE wa Mhambwe, Felix Mkosamali (NCCR-Mageuzi), amezua mjadala mkali bungeni kwa kuishambulia Serikali ya CCM akidai kuwa mawaziri wake wamekuwa wakitoa majibu mepesi yasiyo na mashiko. Mkosamali alitoa kauli hiyo...
11 years ago
Tanzania Daima21 Jun
JB akunwa na Stupid Father
MKONGWE wa maigizo ya filamu nchini, Jacob Steven ‘JB’ amekunwa na sinema mpya iliyochezwa na aliyekuwa mwongozaji na mwigizaji wa ‘muvi’ za Bongo, marehemu Adam Kuambiana iitwayo ‘Stupid Father’ inayotarajiwa...
10 years ago
Mwananchi26 Nov
Mkosamali apandishwa kizimbani Kigoma
10 years ago
Habarileo27 May
‘Mkosamali acha kauli za kebehi’
SERIKALI imemtaka Mbunge wa Muhambwe, Felix Mkosamali (NCCRMageuzi) kuacha kauli za kebehi na kutembelea vyuo vya umma, kuona namna ambavyo serikali imeendelea kuboresha mazingira ya vyuo hivyo pamoja na kuwepo na mtiririko mdogo wa fedha katika bajeti kusudiwa.
11 years ago
Habarileo22 Jun
Kikwete akunwa na vyama vingi
RAIS Jakaya Kikwete amesema mfumo wa vyama vingi vya siasa ni mzuri, umeleta matumaini kwa kupanua wigo na kufungua zaidi uwanja wa kisiasa na kuiwajibisha Serikali.
10 years ago
Mwananchi25 Nov
Mkosamali atiwa mbaroni Kigoma