DAVINA: CHONDECHONDE WAGOMBEA!
Staa wa Bongo Movies, Halima Yahya ‘Davina’. Stori: Laurent Samatta TAHADHARI! Staa wa Bongo Movies, Halima Yahya ‘Davina’, amewatahadharisha viongozi mbalimbali wenye nia ya kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchanguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani 2015 kuwa makini ili wasisababishe vurugu au uvunjaji wa amani. Davina alifunguka hayo juzikati katika mahojiano maalumu na paparazi wetu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies20 Apr
Davina Akanusha Habari “Davina Amchokonoa Wema” Adai ni Uchonganishi
Staa wa bongo movies, Halima Yahaya ‘Davina’ ameonyesha kushitushwa na habari zilizoripotiwa leo nagezeti moja la udaku limeripoti habari yenye kishwa cha habari “Davina Amchokokoa Wema” kitu ambacho Davina amedai ni uchanganishi kati yake na Staa mwenzake Wema Sepetu.
Gazeti hilo limedai kuwa Davina alisema kuwa anamshukuru Mungu kwa mawanae kutimiza miaka miwili kwani kuna watu wanatafuta watoto mpaka sasa hawajapata.
Davina aliyaongea hayo katika birthday ya mwanae iliyofanyika ...
11 years ago
GPLWABONGO: CHONDECHONDE JK VUNJA BUNGE LA KATIBA
10 years ago
Mwananchi26 May
Lipumba: Chondechonde JK nusuru Uchaguzi Mkuu
10 years ago
Mwananchi06 Jul
Chondechonde Jaji Lubuva tuepushe na kikombe hiki
9 years ago
Bongo Movies03 Sep
Mashabiki Nikosoeni-Davina
MWIGIZAJI mahiri wa filamu nchini, Halima Yahya ‘Davina’, amejitokeza na kuwataka mashabiki wake wamkosoe kila wanapoona anacheza tofauti na wanavyotaka katika filamu anazoigiza.
“Mkinikosoa ndiyo nitajifunza kufanya vema zaidi hadi nitafikia kiwango cha kimataifa lakini mkiniacha hamtanisaidia, napenda kujifunza na siwezi kujifunza bila kukosolewa,’’ alisema Davina.
Davina aliwataka wasanii wenzake wakubali kukosolewa kama yeye kwa kuwa hakuna aliyemkamilifu na lengo kubwa ni kujijenga...
10 years ago
GPLRAY, DAVINA HAPATOSHI!
10 years ago
GPLDAVINA AMWANGUKIA MUMEWE
11 years ago
GPLDAVINA AMSHAURI WASTARA
10 years ago
GPLMAI AMLIZA DAVINA