Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashabiki Nikosoeni-Davina

MWIGIZAJI mahiri wa filamu nchini, Halima Yahya ‘Davina’, amejitokeza na kuwataka mashabiki wake wamkosoe kila wanapoona anacheza tofauti na wanavyotaka katika filamu anazoigiza.

“Mkinikosoa ndiyo nitajifunza kufanya vema zaidi hadi nitafikia kiwango cha kimataifa lakini mkiniacha hamtanisaidia, napenda kujifunza na siwezi kujifunza bila kukosolewa,’’ alisema Davina.

Davina aliwataka wasanii wenzake wakubali kukosolewa kama yeye kwa kuwa hakuna aliyemkamilifu na lengo kubwa ni kujijenga...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Davina: Mashabiki nikosoeni

dvinaNA SHARIFA MMASI

MWIGIZAJI mahiri wa filamu nchini, Halima Yahya ‘Davina’, amejitokeza na kuwataka mashabiki wake wamkosoe kila wanapoona anacheza tofauti na wanavyotaka katika filamu anazoigiza.

“Mkinikosoa ndiyo nitajifunza kufanya vema zaidi hadi nitafikia kiwango cha kimataifa lakini mkiniacha hamtanisaidia, napenda kujifunza na siwezi kujifunza bila kukosolewa,’’ alisema Davina.

Davina aliwataka wasanii wenzake wakubali kukosolewa kama yeye kwa kuwa hakuna aliyemkamilifu na lengo kubwa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Davina Akanusha Habari “Davina Amchokonoa Wema” Adai ni Uchonganishi

Staa wa bongo movies, Halima Yahaya ‘Davina’ ameonyesha kushitushwa na habari zilizoripotiwa leo nagezeti moja la udaku limeripoti habari yenye kishwa cha habari “Davina Amchokokoa Wema” kitu ambacho Davina amedai ni uchanganishi kati yake na Staa mwenzake Wema Sepetu.

Gazeti hilo limedai kuwa Davina  alisema kuwa  anamshukuru Mungu kwa mawanae kutimiza miaka miwili kwani kuna watu wanatafuta watoto mpaka sasa hawajapata.

Davina aliyaongea hayo katika birthday ya mwanae iliyofanyika ...

 

11 years ago

GPL

DAVINA AMSHAURI WASTARA

Staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma. Stori: Gladness Mallya BAADA ya staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma kutoa shukurani kwa wasanii wenzake zilizotafsiriwa kama anajitabiria kifo chake, msanii mwenzake, Halima Yahaya ‘Davina’ ameibuka na kumtaka asikate tamaa. Halima Yahaya ‘Davina’. Alisema alishtuka baada ya kuona maelezo gazetini (Ijumaa Wikienda) ambayo Wastara alimpongeza kama rafiki...

 

10 years ago

GPL

MAI AMLIZA DAVINA

Stori: Hamida Hassan Ni shida! Mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse ‘Mai’, hivi karibuni alimliza staa wa sinema za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ baada ya kuchelewa kufika ukumbini akiwa MC (Master of Ceremony) kwenye shughuli ya mdogo wake (Davina). Mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse ‘Mai’. Mpango mzima ulijiri wiki iliyopita nyumbani kwa Davina maeneo ya Mbezi Beach, Dar...

 

9 years ago

Global Publishers

Davina aanika ‘mazagazaga’…

Davina_1.jpgStaa wa filamu Bongo, Halima Yahaya ‘Davina’.

Imelda mtema
Staa wa filamu Bongo, Halima Yahaya ‘Davina’ hivi karibuni alianika ‘mazagazaga’ yake aliyoyapamba kwenye kiuno chake alipokuwa kwenye kibao kata cha ndugu yake kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Future Resort, uliopo Mbezi Beach jijini Dar.

Davina ambaye alionekana mwenye furaha siku hiyo alivalia dera lake ambalo kwa nyuma alilipasua na kuacha sehemu kubwa ya mgongo wake wazi akiwa amejichora ‘tatuu’ huku cheni ya dhahabu ikiwa...

 

10 years ago

GPL

DAVINA: CHONDECHONDE WAGOMBEA!

Staa wa Bongo Movies, Halima Yahya ‘Davina’. Stori: Laurent Samatta
TAHADHARI! Staa wa Bongo Movies, Halima Yahya ‘Davina’, amewatahadharisha viongozi mbalimbali wenye nia ya kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchanguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani 2015 kuwa makini ili wasisababishe vurugu au uvunjaji wa amani. Davina alifunguka hayo juzikati katika mahojiano maalumu na paparazi wetu...

 

10 years ago

GPL

DAVINA AMWANGUKIA MUMEWE

Brighton Masalu Sorry! Staa wa sinema za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ anadaiwa kumwangukia mumewe, Abdallah Shakoor ili kurejesha uhai wa ndoa yao ‘iliyokwaruzwa na makucha ya shetani’ ikiwa ni njia ya kurudisha heshima na hadhi yake kwenye familia na jamii kwa jumla. Staa wa sinema za Kibongo Halima Yahya ‘Davina’. Habari kutoka kwa chanzo makini kilieleza kwamba, mara kadhaa Davina...

 

10 years ago

GPL

RAY, DAVINA HAPATOSHI!

Imelda Mtema
HAPATOSHI! Mkongwe wa sinema za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ na mwigizaji mwenzake, Halima Yahaya ‘Davina’ nusura wazichape kavukavu katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar baada ya Ray kudaiwa kumshika mwenzake huyo sehemu nyeti, Risasi Mchanganyiko lina mchapo kamili. Staa wa Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’. Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho kilikuwa shuhuda wa tukio...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani