Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dawa dhidi ya ujangili yazidi kuiva

Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akikagua magari maalumu 11 aina ya Land Rover Defender yaliyokabidhiwa kwake na Mkurugenzi wa Frankfurt Zoological Society kwa Afrika, Robert Muir (katikati) kwa ajili ya kusaidia kupambana na ujangili nchini katika hafla iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam jana. Kulia ni Balozi mdogo wa Ujerumani nchini, Hans Koeppel. (Picha na Fadhili Akida).RAIS Jakaya Kikwete amesema changamoto mojawapo iliyopo nchini katika kupambana na ujangili, ni ukubwa wa hifadhi na kutokuwa na rasilimali watu wa kutosha.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Kikwete:Vita dhidi ya ujangili

Rais Jakaya Kikwete alihudhuria mkutano wa kimataifa kuhusu wanyamaporti mjini London

 

10 years ago

Mwananchi

Dawa ya ujangili ni kuzuia nyara kuingia sokoni

Mwaka 2013, uwindaji halali uliingizia Tanzania wastani wa Sh900 bilioni, ikiwa ni zaidi ya asilimia 90 ya mapato ya sekta ya utalii yaliyotokana na wanyamapori.

 

11 years ago

Michuzi

WAJERUMANI KUSAIDIA MAPAMBANO DHIDI YA UJANGILI

DSC_0080 Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Dkt. Frank Steinmeier akizungumza waandishi wa habari kwenye mkutano huo jijini Dar es Salaam na kuelezea mafanikio ya ushirikiano wa nchi hizo mbili. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mh. Bernard Membe.(Picha na Zainul Mzige).
Na Damas Makangale
HUKU Tembo wakiendelea kuuawa katika mbuga kadhaa nchini, Serikali ya Ujerumani imeahidi kutoa ushirikiano wa kutosha katika kupambana tatizo la ujangili...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Vita dhidi ya ujangili yashika kasi


NA WILLIAM SHECHAMBO
JITIHADA za serikali katika mapambano dhidi ya vitendo vya ujangili nchini, zimechukua sura mpya baada ya kukabidhiwa helkopta na Taasisi ya Howard Buffet Foundation ya Marekani, kwa ajili ya shughuli hiyo.
Helikopta hiyo ni moja kati ya ahadi alizowahi kuzitoa Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kwa serikali, kama jitihada zinazofanywa na wizara yake kwa kushirikiana na wadau katika kuhifadhi wanyamapori na maliasili.
Makabidhiano ya helikopta hiyo yalifanyika...

 

10 years ago

Vijimambo

VIONGOZI WA DINI WAJITOSA MAPAMBANO DHIDI YA UJANGILI

WAZIRI WA Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akizungumza katika mkutano wake na viongozi wa dini mbalimbali uliofanyika kwenye Hoteli ya Double Tree mjini Dar es Salaam, leo. Katika mkutano huo uliohudhuriwa na viongozi wa juu wa dini mbalimbali masuala mbalimbali kuhusiana na madhara ya ujangili wa wanyama kama tembo na faru yalijadiliwa. Viongozi wa dini mbalimbali wakimsikiliza Nyalandu Waziri Nyalandu akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa dini mbalimbali baada ya mkutano huo....

 

11 years ago

Mwananchi

Bilionea Mmarekani akoleza vita dhidi ya ujangili

Familia ya bilionea namba mbili nchini Marekani, Warren Buffett imeunga mkono juhudi za kupambana na ujangili nchini kwa kuchangia helikopta moja.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Uingereza kuisaidia Tanzania mapambano dhidi ya ujangili


NA MWANDISHI WETU
SERIKALI ya Uingereza imeahidi kushirikiana na Tanzania kuhifadhi tani 120 za pembe za ndovu zinazotunzwa nchini.
Aidha, imeahidi kusaidia harakati za Tanzania katika mapambano dhidi ya uwindaji na mapambano dhidi ya majangili.
Waziri wa Uingereza anayehusika na bara la Afrika, Mark Simmonds, alisema hatua hiyo inatokana na juhudi za nchi kukomesha uwindaji haramu.
Simmonds aliyekuwa akizungumza kwenye mkutano wa pamoja na waandishi wa habari uliohudhuriwa pia na Waziri wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Teknolojia mpya kusaidia vita dhidi ya ujangili

Rais Jakaya Kikwete amewahimiza wananchi waishio ughaibuni kuleta teknolojia mpya nchini kwa kushirikisha kampuni kubwa kwa lengo la kuinua uchumi na kuongeza ajira.

 

10 years ago

GPL

MAREKANI, CHINA KUSAIDIA VITA DHIDI YA UJANGILI

Mkurugenzi wa African Wildlife Foundation, Dr. Patrick Bergin, akizungumza katika mkutano huo. Mkurugenzi Mtendaji wa Wildaid akizungumza. Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu,…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani